Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Giggs anapewa hii tuzo kwa lipi? Nadhani siasa imeingia wameona jamaa karibia anastaafu na ktk listi yao ya zawadi hawajawahi kumpa wanaamua kumpa asante..Uwizi mtupu...!
 
Giggs anapewa hii tuzo kwa lipi? Nadhani siasa imeingia wameona jamaa karibia anastaafu na ktk listi yao ya zawadi hawajawahi kumpa wanaamua kumpa asante..Uwizi mtupu...!
Mkubwa sasa wewe una bifu na MAN U,kama asingeshinda Giggs hiyo tuzo ingeenda kwa VIDIC so still tuzo ilikuwa lazima ibaki OT,uliona performance ya GIGGS kwenye game ya Chelsea nafikiri utamkubali kwa age aliyokuwa nayo still bado anakimbiza kati kama ana miaka 25
FYI-Hii tuzo wachezaji wenyewe ndio wanapiga kura so hata wachezaji wa timu yako wamemkubali GIGGS
 
...RYAN GIGGS Deserves it! jamaa hata mimi namzimia...100% professional,...bahati mbaya ni mu-Welsh tu, angekuwa Englishman angekuwa anatukuzwa kuliko David Beckham!
 
Nimeuliza swali tu kuw Giggs anapewa tuzo hii kwa lipi, hiyo ndio hoja yangu. Habari za Vidic sijui Man U zinaingiaje mkuu? Vidic nakubali angeweza kustahili lakini sio huyu Giggs aliyeanza mechi 7 tu na kufunga sijui kama ameshawahi kufunga msimu huu.
 
...RYAN GIGGS Deserves it! jamaa hata mimi namzimia...100% professional,...bahati mbaya ni mu-Welsh tu, angekuwa Englishman angekuwa anatukuzwa kuliko David Beckham!

Tembelea thread husika hapa JF utoe sababu za Giggs kwa nini unadhani anastahili kuikwaa PFA ya msimu huu.
 
Tembelea thread husika hapa JF utoe sababu za Giggs kwa nini unadhani anastahili kuikwaa PFA ya msimu huu.

Mkuu!

Kuna utofauti wa ku analyase contribution ya mchezaji based of the info from the net na through kuona game live na influence yake kuiona palepale uwanjani. Nasema hivyo coz luks like watu tumejikita kwenye kuangalia game starts na magoli which for sure zina umhim lakini they are not an exhaust peke yake, if that will be case then kutakuwa nahaja gani ya kuangalia team matches as much as wer can avail ourselves with data from the internet..! Of coz kwa wale ambao wamekuwa wadau wazuri wa kucheki game then they agree with me on that. Basically, for what he has done this season so far vis a vis his age. plz lets give credit him.
 
Tembelea thread husika hapa JF utoe sababu za Giggs kwa nini unadhani anastahili kuikwaa PFA ya msimu huu.

...aaarrrggghhh, mbali kote kwa nini huko? apart from Scholey, (Paul Scholes) Ryan Giggs ni mchezaji mkongwe wa Man U ambaye hana makuu, na kiwango chake bado ni changio la kutosha kuweza kubadilisha hali ya mchezo!

Giggs holds a host of football records, including that of being the most decorated player in English football history. On 11 May 2008, he became the first footballer to collect 10 top division English league title medals. Giggs was the first player in history to win two consecutive PFA Young Player of the Year awards (1992 and 1993) and is the only player to have played and scored in every single season of the Premier League since its inception, also holding the league's record for most all time goal assists

Hey, washabiki wa ManU...nawatakia kila 'lililo na simanzi' na nyie leo 😀 ...Mbu will be back, 'Buzzzzzzzzzzzzzziing' after the game!

See you later¬!
 
Leo ushindi mnono tunaupata, leo Fergie amuanzishe Anderson katikati
 
Watu mko wapi?

1st half imeenda kihalali kwa man utd, wamekuwa magnificent! kama 2nd half wata-concentrate, gunners ndio mwisho wao guu!

see ya!
 
Watoto wanafurahisha...
walitaka total football kazi kwao sisi kapeti tu.
 
anderson leo kacheza vizuri sana; gunners kumbe ni wachovu kabisa, hawakuwa tishio hata kidogo.
iliyobaki kwenda kuwamalizia kipisi cha shingo kilichobaki, kwao!
 
Anderson ni mchezaji mzuri hasa kati kwa kuwa ananguvu sana, ila SAF anakazi ya kumuelekeza maana huwa analoose concentration mapema sana. Nimeifurahia defence, imefanya kazi nzuri sana. I hope Ferdinand hajaumia sana na atarudi dimbani soon. Strikers bado kuna shida sana, i salute Rooney. Ronaldo anaishia nini? sioni vile vitu vyake adimu.

congrat my comrades, tupo juu, i hope tutawapiga tena Emirates.
 
Thank you guys tukikutana fainali (Chelsea) lazima tuwatoe kamasi zito!
 
jitahidini imarati goli la ugenini linawezakuwalinda
 
Thank you guys tukikutana fainali (Chelsea) lazima tuwatoe kamasi zito!weeeeeeeeee mtake radhi zitto....angalieni tu imarati
 
oshea_PaulEllis2.jpg
 
Back
Top Bottom