Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Kikosi cha watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys hawa hapa.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁

My prediction
Manchester united 4 vs Southampton 0

Tutapiga kama ngoma.
Twende nalo 💪
1737053927973.jpg
 
Kwa jinsi nionavyo mchezo unavyoendelea hapa wachezaji wa utd wanamentalit ya timu ndogo hivyo wanapokutana na timu kubwa kama Liverpool, Man City na Arsensl wanakamia game ila wakikutana na wadogo wenzao kama Southampton wanacheza kwenye kiwango Chao halisi na hapa ndipo unapata picha ya kikosi tulichonacho. Hii nafasi ya 14 hatupo kwa bahati mbaya bali ndio uwezo wa aina ya wachezaji tulionao. Mchezaji kama Maiono mimi sioni ubora ambao watu wanamsifia kila wakati ni back past mara apigishe wapinzani mpira. Tunahitaji wachezaji wenye kujiamini sio hawa ambao wanawasiwasi hadi miguuni.
 
Back
Top Bottom