Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Ila hii timu ni mbovu kuliko ubovu wenyewe. Vitu basic kabisa uwanjani vinawashinda!
Kuna namna tumelogwa na timu zote 19 za premier league.
 
Ila hii timu ni mbovu kuliko ubovu wenyewe. Vitu basic kabisa uwanjani vinawashinda!
Kuna namna tumelogwa na timu zote 19 za premier league.
Ila nyinyi mnachekesha.

Kenge wameonja uwezo wa Sancho wamerudi kuwaomba Garnacho na nyinyi mpo tayari kuwauzia.

Timu kubwa kama Atletico na Napoli na zenyewe zinamtaka dogo ila nyinyi mnaona dogo hafai. Kwa umri wake hizo near miss ni sawa hata haina haja ya kujifanya hamuwezi kuvumilia na kumkuza hamuwezi.
 
0-3 FT man u win
IMG_20250130_222847_839.jpg
 
Back
Top Bottom