Manchester United (Red Devils) | Special Thread
watapigwa kama mgoma 😁
IMG_20250207_220955_981.jpg
 
Hivi Hawa wachezaji wanafanya mazoezi kweli? Je wanalipwa Mshahara? Na je wanafahamu jinsi wanavyocheza?....................?????

Man U ya sasa ikikutana na Timu top 15 inakuwa ni big Matches kwelikweli!!!! Kwanza
1. Wachezaji hawakimbii, nyoronyoro tu.
2. Kona zikipigwa hata thelathini hawawezi kufunga hata goli moja, lakini wao wakipigiwa Mipira ya kona hata miwili inakuwa hatari Kubwa langoni au kufungwa kabisaaa.
3.Timu imekuwa na mentality ya timu ndogo, ikikutana na timu Kubwa Top Four eti wanakaza lakini ikikutana na timu ndogo ni Kipigo tuuuuu.
 
Wanacheza hovyo sana
 
Uchawi wa dalot kiboko aiseee yeye kila siku anaanza afu ndo mchezaji kimeo zaidi
 
Back
Top Bottom