Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Leicester City vipi wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anapigwa kama ngoma?Leicester City vipi wakuu?
Nyie jidanganyeni tu😂😂anapigwa kama ngoma?
Hamna time wazeee 😂watapigwa kama mgoma 😁View attachment 3228397
Watoto wahuni hawa, ngoja tuwasubiri kipindi cha pili.Mashamba Makubwa Nalima au nasema uwongo wajameniii 😂
Usikute wachezaji wamebeti kufungwa 😂Watoto wahuni hawa, ngoja tuwasubiri kipindi cha pili.
Wanacheza hovyo sanaHivi Hawa wachezaji wanafanya mazoezi kweli? Je wanalipwa Mshahara? Na je wanafahamu jinsi wanavyocheza?....................?????
Man U ya sasa ikikutana na Timu top 15 inakuwa ni big Matches kwelikweli!!!! Kwanza
1. Wachezaji hawakimbii, nyoronyoro tu.
2. Kona zikipigwa hata thelathini hawawezi kufunga hata goli moja, lakini wao wakipigiwa Mipira ya kona hata miwili inakuwa hatari Kubwa langoni au kufungwa kabisaaa.
3.Timu imekuwa na mentality ya timu ndogo, ikikutana na timu Kubwa Top Four eti wanakaza lakini ikikutana na timu ndogo ni Kipigo tuuuuu.
Acha ujinga wewe...unaangalia mpira makengeza nini.Garnacho mngese kweli!
Hii mbona ni offside?MAGUIREEEEEEEEEEEEEE in the 93rd minute
Utahangaika sana, na FA hatua hii hamna VARHii mbona ni offside?