Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Halafu huyo jamaa ana tambo za kiutoporo kabisa, sijui huwa anafyeka na nyasi pale kaunda stadium?Wanasema better die trying
Aisee unatia kinyaa dogo.Unaweza kukuta nae anaukalia
Angeshinda ndo angefaa na ingekuwa na tija kubwa sana kwake kibiasharaAkawe msemaji wa timu za Tz tu...ana mikwara manara hafiki
Mbona umepanik. Mpo wengi?Aisee unatia kinyaa dogo.
Una comment fulani za kipumbavu sana. Ama una stress za maisha au una IQ zero
Kwa hyo MANDONGA anaamini alifanyiwa uchawi wakati inaonesha kabisa uwezo wake mdogo,sema Jamaa anamdomo sana aseeπ€£π€£π€£Mandonga mtu kazi anamtaka mbabe, kasema hataki uchawi kwenye masumbwi!
Anataka nyama nyama, ngumi jiwe!
Mdomo umemponza! Kisaikolojia mandonga alikuwa kwenye tension kubwa zaidi yakutaka kushinda jambo lililochangia kupoteza professionalism kwa ulingo!Kwa hyo MANDONGA anaamini alifanyiwa uchawi wakati inaonesha kabisa uwezo wake mdogo,sema Jamaa anamdomo sana aseeπ€£π€£π€£
Hahah mtu mbayaila Mandonga kaniangusha angempiga hata meno yule fala[emoji23][emoji28]
Au siyoMimi naomba pambano na mandonga mtu kazi.
Kweli kabisa naomba pambano,
Nia ya kumpiga ninayo na uwezo wa kumpiga ninao.
Kama yupo humu Jf naomba ajitokeze
Apangiwe pambano lingine..alipo tupo!Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga.
Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa.
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
Yeah mwalimu tatizoila mwamba namshauri asikate tamaa,ni vitu vidogo tu anatakiwa kufundishwa naamini jamaa anaweza akipata mwalimu mzuri
hana tofauti na yule kutoka BurundiAnaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe![emoji23]View attachment 2309760
Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe!View attachment 2309760
Kabisaila mwamba namshauri asikate tamaa,ni vitu vidogo tu anatakiwa kufundishwa naamini jamaa anaweza akipata mwalimu mzuri