Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

Mandonga atoroka Songea usiku wa manane, inadaiwa kadandia roli la sementi, tumuombee afike salama mtu kazi

Mandonga mtu kazi anamtaka mbabe, kasema hataki uchawi kwenye masumbwi!
Anataka nyama nyama, ngumi jiwe!
Kwa hyo MANDONGA anaamini alifanyiwa uchawi wakati inaonesha kabisa uwezo wake mdogo,sema Jamaa anamdomo sana asee🤣🤣🤣
 
Kwa hyo MANDONGA anaamini alifanyiwa uchawi wakati inaonesha kabisa uwezo wake mdogo,sema Jamaa anamdomo sana asee🤣🤣🤣
Mdomo umemponza! Kisaikolojia mandonga alikuwa kwenye tension kubwa zaidi yakutaka kushinda jambo lililochangia kupoteza professionalism kwa ulingo!

Ni rahisi kupigwa na mnyonge kwasababu anakuwa hana cha kupoteza hivyo anakuwa makini zaidi kiufundi!
Ndiyo maana kaoneka kampiga, kwasababu mandonga too much confidence imemuondolea umakini

Dreva leaner huwa makini kuliko dreva anaejiamini
 
ila Mandonga kaniangusha angempiga hata meno yule fala[emoji23][emoji28]
 
Kazi kwelikweli.
IMG-20220731-WA0029.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naomba pambano na mandonga mtu kazi.
Kweli kabisa naomba pambano,
Nia ya kumpiga ninayo na uwezo wa kumpiga ninao.
Kama yupo humu Jf naomba ajitokeze
 
Mimi naomba pambano na mandonga mtu kazi.
Kweli kabisa naomba pambano,
Nia ya kumpiga ninayo na uwezo wa kumpiga ninao.
Kama yupo humu Jf naomba ajitokeze
Au siyo
 
Inasemekana baada ya pambano hakurudi hata hotelini; ameondoka usiku mnene bila kuaga.

Anasema uchawi umehusika alikuwa anaona mishale tu badala ya ngumi ndiyo maana kapigwa.

Anaamini yeye bado ni bondia hatari sana mtu kazi! Kaomba apangiwe pambano na dulla mbabe.
Apangiwe pambano lingine..alipo tupo!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyu akipigana na mwanangu mfaume mfaume si atampasua ubongo

Ova
 
ila mwamba namshauri asikate tamaa,ni vitu vidogo tu anatakiwa kufundishwa naamini jamaa anaweza akipata mwalimu mzuri
 
Back
Top Bottom