Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

watu wananiita chuga, na sipendi hilo jina maana me sio mchaga na sio muarusha in general. lakin sababu sio tusi na ndomaana naona sawa tu.
 
Chakuringa🤣🤣

Mimi siringi ila mvivu wa kusoacialize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…