Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Zaidi ya Mama yangu, simuamini mwanamke yeyote, naona kila waniambiacho ni uwongo mtupu kwangu
 
Siamini yote, naamini maneno ma 2 tu:

1. Chakula kiko tayari maana nita
Yote siamini, labda vitu vya kuonekana kama chakula tayari, etc, nisivyoweza kuthibitisha siviamini vyote.
 
Hiyo ilikuwa siri yake uko anaposhinda mana hakuwa na mambo mengi kitaani akirudi yeye ni ndani tu.
Chini kwa mke wake......unajua wanawake ni wajanja sana na hii siri wanaume hawaijui.....Ukiwa unapenda sana Chini Mke anakudharau sana. Anakufanya unakuwa mtumwa na unatumika kweli kweli.
 
"napenda kitambi chako....."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…