Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Kwangu mimi ni hizi:

"Nilikuwa busy sana jamani sema ntakutafuta tu nikitulia" translation sihitaji mazoea nawewe kwa sasa.

"Baby mi nalala bana im tired tutaongea kesho" ...translation...Kuna simu muhimu zaidi ya kuongea nayo kata simu yako fala wewe😂

"Wewe ni mtu wangu wa pili since nimeanza dating" ... Translation... Tuliza mshono bana wewe ni mtu wa 23 to be exact😁
Umepita mule mule mkuu 😂
I really appreciate wanawake wanaonipa time hata ya kunisikiliza.
 
Kwangu mimi ni hizi:

"Nilikuwa busy sana jamani sema ntakutafuta tu nikitulia" translation sihitaji mazoea nawewe kwa sasa.

"Baby mi nalala bana im tired tutaongea kesho" ...translation...Kuna simu muhimu zaidi ya kuongea nayo kata simu yako fala wewe😂

"Wewe ni mtu wangu wa pili since nimeanza dating" ... Translation... Tuliza mshono bana wewe ni mtu wa 23 to be exact😁
Broo upo wapi? Nataka nikufuturishe bila kusahau kukununulia nguo za Eid El Fitr maana umepita mulemule qmmqe 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom