Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

kwa kifupi kila neno litokalo kwa mwanamke linapaswa kupitishwa kwenye CT SCAN, ANT VIRUS, ULTRA SOUND na kila aina ya vipimo uvijuavyo...

mimi nili date na mtoto wa 2000 way back akaniambia hajawahi kukutana na mwanaume for over 3 yrs, nikamini... Hio ni long distance r/ship

kmmk siku tunakuja kukutana nakuta ana mimba ya miezi minne ya mshkaji jirani yake..

kmmk simwamini Ke yeyote kwenye mahusiano
 
Kwangu mimi ni hizi:

"Nilikuwa busy sana jamani sema ntakutafuta tu nikitulia" translation sihitaji mazoea nawewe kwa sasa.

"Baby mi nalala bana im tired tutaongea kesho" ...translation...Kuna simu muhimu zaidi ya kuongea nayo kata simu yako fala wewe😂

"Wewe ni mtu wangu wa pili since nimeanza dating" ... Translation... Tuliza mshono bana wewe ni mtu wa 23 to be exact😁
Khaa!
 
kwa kifupi kila neno litokalo kwa mwanamke linapaswa kupitishwa kwenye CT SCAN, ANT VIRUS, ULTRA SOUND na kila aina ya vipimo uvijuavyo...

mimi nili date na mtoto wa 2000 way back akaniambia hajawahi kukutana na mwanaume for over 3 yrs, nikamini... Hio ni long distance r/ship

kmmk siku tunakuja kukutana nakuta ana mimba ya miezi minne ya mshkaji jirani yake..

kmmk simwamini Ke yeyote kwenye mahusiano
Alikudharau sana
 
Back
Top Bottom