Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo?

Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata mashaka nahisi nasaidiwa😀😀
Au akinambia nakupenda ndiyo siaminigi kabisa.

Vipi kwa upande wako maneno gani huyaamini kutoka kwa hizi species
Out of topic: hiyo avatar yako imenifanya nione kama kioo cha simu kimepasuka
 
Brothers niaje kaka zangu leo ngoja niwape ka challenge, ni maneno gani ukiambiwa na mwanamke unahisi ni uongo?

Kwa mfano mi demu aisee akinambia eti "upo peke yako" yaani hapo ndo nazidi kupata mashaka nahisi nasaidiwa😀😀
Au akinambia nakupenda ndiyo siaminigi kabisa.

Vipi kwa upande wako maneno gani huyaamini kutoka kwa hizi species
"Yule ni rafiki yangu tuu ...... sifanyi nae chochote ......",hapo jiandae kiakaili na kaa mkao wa kupigwa kibuti.
 
Back
Top Bottom