Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

CCM sio mtu mmoja. CCM ni watu na Mama Samia ni kiongozi. Ushindi wa CCM ni jitihada za wanachama wote sio mwenyekiti peke yake. Hayo yote uliyotaja yana majibu ya kutosha. Nakushauri wewe na CHADEMA kwa ujumla mtafute agenda itakayowabeba kama ilivyokuwa agenda ya ufisadi kwa 2010 na 2015. Kwa sasa mmevurugwa kiasi kwamba viongozi wenu waandamizi wakipanda majukwaani ni kumsifia tu mwenyekiti wa CCM kuashiria kwamba maslahi yao yako salama.
 
Acha uongo wewe chawa
 

Wewe jamaa magu alikufanya nini??
Maana ukilala ukiamka unamuwaza yeye tu.
 

Wageni? Ndiyo akina nani hao na wana uhalali gani wa kutuuliza maana ya HAPA KAZI TU!
 
Kauli ya hapa kazi tu inahamasisha utendaji na watu wajivunie kufanya kazi.

Kama unaona neno kazi ni lakijinga muambie Miga akuelekeze ukale buer kwa beberu kamayeye.
 
📌📌📌
 
Hataivyo hongera kwa kuangalia meli ikiwa inawekwa ziwani Leo.
Naona Ulitaka kujinyonga baada yakuona melikuwa iliyo asisiwa na Magufuli ikiwa tayari kuwa hudumia wananchi.
Hiloneno HAPA KAZI TU umeliona tena Leo kwenye meli na ndio limekupandisha maruhani.
 
Nonsense
 
Kwaiyo hutaki kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuona Rais kijana akichukua mamlaka na kauli mbiu ya "Hapa Kazi tu" baada ya karne moja kupita.
 
Ulitaka waandike kidumu chama cha mapinduzi? Hapa kazi tu ni usemi wa kuashiria utendaji kwa kiwango kilichopitiliza.
Kununua ndege ambazo hazijawahi kununuliwa zaidi ya miaka 60 ni kielelzi cha hapa kazi tu, kujenga reli ambayo haijawahi jengwa kwa miaka 60 ni kielelezo cha hapa kazi tu..ni mwaka gani serikali ilitengeneza meli kwa wingi kama ilivyojenga wakati wa hapa kazi tu?? Stendi za kisasa, masoko ya kisasa, shule za kisasa, miundo mbinu ya barabara za kisasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…