UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hatari sana.Hakika walimkolimba huyu bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana.Hakika walimkolimba huyu bwana
CCM sio mtu mmoja. CCM ni watu na Mama Samia ni kiongozi. Ushindi wa CCM ni jitihada za wanachama wote sio mwenyekiti peke yake. Hayo yote uliyotaja yana majibu ya kutosha. Nakushauri wewe na CHADEMA kwa ujumla mtafute agenda itakayowabeba kama ilivyokuwa agenda ya ufisadi kwa 2010 na 2015. Kwa sasa mmevurugwa kiasi kwamba viongozi wenu waandamizi wakipanda majukwaani ni kumsifia tu mwenyekiti wa CCM kuashiria kwamba maslahi yao yako salama.Kivipi za huruma ilihali CCM imeshindwa Kila kitu? Hivi 2025 kwenye kampeni mtawaambia Nini wananchi? Ilihali bei ziko juu, no umeme , no Maji, no ajira, wakulima kilio n.k ni kundi Gani litawapigia kura? Mind you Mama Samia ni mzenji so Hana mtaji wa kura huku bara so bila kula za huruma hakuna mwenye akili timamu ataichagua CCM
Acha uongo wewe chawaCCM sio mtu mmoja. CCM ni watu na Mama Samia ni kiongozi. Ushindi wa CCM ni jitihada za wanachama wote sio mwenyekiti peke yake. Hayo yote uliyotaja yana majibu ya kutosha. Nakushauri wewe na CHADEMA kwa ujumla mtafute agenda itakayowabeba kama ilivyokuwa agenda ya ufisadi kwa 2010 na 2015. Kwa sasa mmevurugwa kiasi kwamba viongozi wenu waandamizi wakipanda majukwaani ni kumsifia tu mwenyekiti wa CCM kuashiria kwamba maslahi yao yako salama.
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.

Mtafuta au hamfuti ?Wewe jamaa magu alikufanya nini??
Maana ukilala ukiamka unamuwaza yeye tu.
Huna akili weweHivi ukiulizwa maana yake nini utajibuje ?
Kwi Kwi KwiHuna akili wewe
Kauli ya hapa kazi tu inahamasisha utendaji na watu wajivunie kufanya kazi.Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
📌📌📌Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
NonsenseHuu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Kwi Kwi KwiNonsense
Kwaiyo hutaki kazi?Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Hii kauli haiwezi kuwepo hukoNamuona Rais kijana akichukua mamlaka na kauli mbiu ya "Hapa Kazi tu" baada ya karne moja kupita.
Ulitaka waandike kidumu chama cha mapinduzi? Hapa kazi tu ni usemi wa kuashiria utendaji kwa kiwango kilichopitiliza.Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.