Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Yanatakiwa yawekwe maneno yatakayoleta tija kwenye taifa, ndege ni sehemu nzuri ya kufanyia matangazo ya utalii.
Zingeandikwa hata "Visit Kariakoo" kuvutia wafanyabiashara wa nchi jirani.
Wewe hayo maneno yanakupunguzia nini au yanakuongezea nini?
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Wayaandike kwenye yale manguo ya kijani.
 
Hao unaowaita ng'ombe wana adhabu yenu kwenye sanduku la kura 2025. Vijana wa CHADEMA eleweni demokrasia ni mchezo wa wengi wape. CCM inapohakikisha inajipenyeza kwenye makundi yote sio wajinga. CHADEMA mtabaki na nguvu kubwa humu mitandaoni na kujisifu ni chama cha wenye akili huku kwenye ballot box mkipewa kibano na wale mnaowatukana leo.
Watu wanashindia MO ENERGY NA KASHATA kutokana na ugumu wa maisha , wanaichaguaje ccm ?
 
We masikini leo utalala wima .
Nakushauri tena mkuu kwenye nchi yenye maskini wengi kama Tanzania, wewe kama kada wa Cdm usipende kulitumia kudhihaki ,
Utaharibu picha ya chama chako ambayo kinategemewa kuja na sera za kuwatoa kwenye umaskini,
Watanzania wengi Bado wako kwenye mapambano dhidi ya umaskini
 
Kauli mbiu inayaotambuliwa kitaifa ni
UHURU NA UMOJA
Hizo zingine na za vyama husika ,naunga mkono zisitumike kwenye Mali za umma zinaharibu umoja wa kitaifa katika unenzi wa taifa,

La sivyo tungeona pia kauli mbiu za awamu zingine kwenye Mali za umma kama Ari mpya Nguvu mpya na Kasi mpya ,mtaji wa maskini , ruksa nk

Tuache hizo hututaki tuamini kwamba kuna awamu ilikuwa na malimbukeni wasiojua kutofoutisha Mali za umma na za vyama au kujua mipaka yao
 
mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
Unatumie akili mkuu au ww ni robot ?
Kama majibu Yako ni hayo huoni kwamba unaweza kuwa ni hasara kubwa sana kwa chama chako na taifa ?
Unayo nafasi
Badilika mkuu
 
Ungejua mpaka kuna intake ya jkt inaitwa hapa kazi tu, usingeandika huu ushuzi.
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
WIVU utakuua

Angetoa Mbowe usingesema hivo
Aja ujinga wewe

KAZI ndo msingi wa kila KITU
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Aisee! Una akili Sana! Ni ya hovyo Sana, ni ya yule kichaa!
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Naunga mkono hoja
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga
Sio ya kijinga!. Naunga mkono
maneno ya "hapa kazi tuu" yaondolewe, ila sababu ya kuondolewa sio kwasababu ni ya kijinga bali kwasababu ni slogan ya awamu iliyopita, awamuikipita na slogan zake zipite, sasa tuweke " kazi iendelee "!.
ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Sio upuuzi ni slogan!.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana,
Maneno hapa kazi tuu ni maneno ya maana sana!, na kazi imefanyika na imeonekana!.
kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Sio mavitu yasiyo na maana, ni slogan ya ukweli!.
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini?
Utajibu hii ni awamu ya kuchapa kazi tuu, hakuna blah blah!.
mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Hakuna udhalilishaji wowote, ile ilikuwa ni awamu ya hapa kazi tuu na sasa ile kazi tuu ya awamu iliyopita sasa inaendelea, hivyo " kazi inaendelea!"
p
 
magari ya kuazima nyie a acheni ujinga wenyuu mmejaza majixi tupu chamani
Hard top zimeazimwa? Jaribu kuwa serious.... Kabla ya Mbowe Kulikua hakuna magari in fact alitumia magari binafsi ya kina ndesamburo, Mbowe n.k watu kufanyia kampeni. Ila wakanunua hard top za M4C kibao mpaka Leo zinapiga kabisa kuanzia level ya Kanda Hadi taifa.
 
Hapana. Unajidanganya wale wapiga kura milioni 6 karibu wote walikuwa wafuasi wa Lowassa ambao kwa sasa wamesharudi CCM ukiongeza na wale wanachama waliokikataa chama kutokana na itikadi za Lissu kutetea ushoga utaona wanachama hai wa chama cha Mbowe waliobaki ni kama laki 1. Kwenye uchaguzi mkuu mgombea wenu atafikisha kura hata milioni ambazo nyingi ni za huruma na sio kwa sababu ya sera.
Acha utoto Chadema ni msingi iliwafikia wanachama million 6 ambao ndio wanasajiliwa pia kupitia Chadema digital. Hata CCM ilisema Ina wanachama million 16 kwani Ina kura million 16 uchaguzi wa 2020?? Hata wenye vitambulisho vya kupiga kura ni zaidi ya million 25 ila je Kuna siku wote hao wamepiga kura??

Usichanganye mambo, mwaka 2020 kwa mujibu wa NEC wagombea ubunge wa Chadema walizoa kura million 3 combined Sasa ulidhani hizo kura zimetoka wapi?

Na 2025 zitaongezeka maana tuna Rais dhaifu asiyeweza lolote so hakuna mwenye akili timamu atampigia kura.
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
NCHI hii haina Dira wala mwelekeo Hata ukiwauliza wenyewe maana yake nini watakuambia Magufuli ndio alisema na Ukibahatia kumuuliza Magufuli huko aliko atakuambia Kazi ilikuwa ya Upigaji pesa
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
iende sambamba na ukomo wa Maneno haya...."Kistaarabu" na"Kiungwana"

mbadala wake uwe 'makini' au 'safi': na manufaa kwa ujumla.

Zaidi ya hapo umeleta hoja yenye chuki.

Kitaeleweka
 
Narudia, Tundu Lissu na vibaraka wake na ajenda ya kubadilisha Utamaduni na maadili ya Mtanzania ukome. Kwanini mnatulazimisha tuwe na Maadili ya Wabelgiji.

Hameni mrudi Ubeligiki kama hampendi maneno yetu mkakumbatie maneno ya King Leopold dhalimu wa Kwanza kuja na maneno kama yako.
 
Back
Top Bottom