Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,493
- 5,591
Hivi wee umesoma chuo gani?kwani huwajui wananchi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wee umesoma chuo gani?kwani huwajui wananchi ?
Alichopatia PhD Babu TaleHivi wee umesoma chuo gani?
Wewe hayo maneno yanakupunguzia nini au yanakuongezea nini?
Wayaandike kwenye yale manguo ya kijani.Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Watu wanashindia MO ENERGY NA KASHATA kutokana na ugumu wa maisha , wanaichaguaje ccm ?Hao unaowaita ng'ombe wana adhabu yenu kwenye sanduku la kura 2025. Vijana wa CHADEMA eleweni demokrasia ni mchezo wa wengi wape. CCM inapohakikisha inajipenyeza kwenye makundi yote sio wajinga. CHADEMA mtabaki na nguvu kubwa humu mitandaoni na kujisifu ni chama cha wenye akili huku kwenye ballot box mkipewa kibano na wale mnaowatukana leo.
We masikini leo utalala wima .mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
Nakushauri tena mkuu kwenye nchi yenye maskini wengi kama Tanzania, wewe kama kada wa Cdm usipende kulitumia kudhihaki ,We masikini leo utalala wima .
Unatumie akili mkuu au ww ni robot ?mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
WIVU utakuuaHuu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Aisee! Una akili Sana! Ni ya hovyo Sana, ni ya yule kichaa!Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Yule mwehu alileta hii slogan ya hovyo!Aisee! Una akili Sana! Ni ya hovyo Sana, ni ya yule kichaa!
Naunga mkono hojaHuu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Sio ya kijinga!. Naunga mkonoKuwepo kwa maneno haya ya kijinga
Sio upuuzi ni slogan!.ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Maneno hapa kazi tuu ni maneno ya maana sana!, na kazi imefanyika na imeonekana!.Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana,
Sio mavitu yasiyo na maana, ni slogan ya ukweli!.kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Utajibu hii ni awamu ya kuchapa kazi tuu, hakuna blah blah!.Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini?
Hakuna udhalilishaji wowote, ile ilikuwa ni awamu ya hapa kazi tuu na sasa ile kazi tuu ya awamu iliyopita sasa inaendelea, hivyo " kazi inaendelea!"mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Hard top zimeazimwa? Jaribu kuwa serious.... Kabla ya Mbowe Kulikua hakuna magari in fact alitumia magari binafsi ya kina ndesamburo, Mbowe n.k watu kufanyia kampeni. Ila wakanunua hard top za M4C kibao mpaka Leo zinapiga kabisa kuanzia level ya Kanda Hadi taifa.magari ya kuazima nyie a acheni ujinga wenyuu mmejaza majixi tupu chamani
Acha utoto Chadema ni msingi iliwafikia wanachama million 6 ambao ndio wanasajiliwa pia kupitia Chadema digital. Hata CCM ilisema Ina wanachama million 16 kwani Ina kura million 16 uchaguzi wa 2020?? Hata wenye vitambulisho vya kupiga kura ni zaidi ya million 25 ila je Kuna siku wote hao wamepiga kura??Hapana. Unajidanganya wale wapiga kura milioni 6 karibu wote walikuwa wafuasi wa Lowassa ambao kwa sasa wamesharudi CCM ukiongeza na wale wanachama waliokikataa chama kutokana na itikadi za Lissu kutetea ushoga utaona wanachama hai wa chama cha Mbowe waliobaki ni kama laki 1. Kwenye uchaguzi mkuu mgombea wenu atafikisha kura hata milioni ambazo nyingi ni za huruma na sio kwa sababu ya sera.
NCHI hii haina Dira wala mwelekeo Hata ukiwauliza wenyewe maana yake nini watakuambia Magufuli ndio alisema na Ukibahatia kumuuliza Magufuli huko aliko atakuambia Kazi ilikuwa ya Upigaji pesaHuu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
iende sambamba na ukomo wa Maneno haya...."Kistaarabu" na"Kiungwana"Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.