Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.

Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna Amiri Jeshi Mkuu wa Viwango vya Kidunia katika Mzani wa uzito wa Juu,Tuna Mzalendo wa kweli mbele yetu,Tuna Mama hodari Mwenye kiapo cha kuitetea,kulinda na kulipigania Taifa Letu kwa Jasho na Damu.Tuna Mama wa Nguvu , shupavu, imara na madhubuti kwelikweli.

Nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na kukuta ameandika ujumbe wake kwenda kwa Jeshi letu lenye uzalendo wa hali ya juu kabisa. Maneno ambayo nilipokuwa nayasoma nimejikuta nikibubujikwa na machozi ya furaha kuwahi kutokea .

Nimejikuta Moyo wangu ukijawa na Morali ya hali ya juu kiasi kwamba Hata vita itokee Leo naweza hata kubeba panga na rungu begani kwenda kupambana na adui mwenye silaha nzito na vifaru vya kivita na ndege za kivita angani. Lakini kwa maneno ya Rais wetu mpendwa mimi naweza kusonga mbele katika uwanja wa Mapambano uwakao Moto Pasipo kurudi Nyuma.

Rais Samia siyo Binadamu wa kawaida.ni mtu na nusu,ni zaidi ya kiongozi.Amenijaza ujasiri sana leo hii zaidi ya ule niliokuwa nao. Katika andiko lake katika siku hii ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi letu la JWTZ tangia kuasisiwa kwake amenukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa yasemayo "Moyo Kwanza kabla ya silaha" yaliyotolewa na Mwalimu Nyerere wakati huo kama sehemu ya hotuba yake.

Rais wetu mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Kwa moyo wa waliotangulia mbele za haki na Moyo wa Makamanda na wapiganaji Wetu Taifa letu limeendelea kuwa imara,mipaka yetu imeendelea kuwa salama na watanzania wameendelea kuishi kwa amani katika Nchi yao.

Akamalizia kwa kusema ya kuwa Utii wenu ,nidhamu yenu na utayari wenu kwa Nchi yetu ndio Msingi wa watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi.lindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa tena nguvu kubwa sana.Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu nipo pamoja Nanyi kwa Hali zote.

Ndugu zangu maneno aliyomaliza hapo mwishoni Rais wetu ndiyo yamenitoa na kunibubujisha machozi kuwahi kutokea.Maneni ya kwamba Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa Amiri Jeshi Mkuu Nipo Nanyi kwa Hali zote .ni maneno yenye kujawa na uzalendo wa hali ya juu sanaaaaaaa Kwa Taifa letu.

Ni Maneno yenye kuonyesha ni namna gani Rais wetu amelitanguliza mbele Taifa letu na kuwa tayari kulipigania,kulitetea na kulilinda katika hali zote na kwa gharama yoyote ile iwayo. Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana.
Screenshot_20240901-150615_1.jpg
Screenshot_20240901-150630_1.jpg

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.

Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna Amiri Jeshi Mkuu wa Viwango vya Kidunia katika Mzani wa uzito wa Juu,Tuna Mzalendo wa kweli mbele yetu,Tuna Mama hodari Mwenye kiapo cha kuitetea,kulinda na kulipigania Taifa Letu kwa Jasho na Damu.Tuna Mama wa Nguvu , shupavu, imara na madhubuti kwelikweli.

Nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na kukuta ameandika ujumbe wake kwenda kwa Jeshi letu lenye uzalendo wa hali ya juu kabisa. Maneno ambayo nilipokuwa nayasoma nimejikuta nikibubujikwa na machozi ya furaha kuwahi kutokea .

Nimejikuta Moyo wangu ukijawa na Morali ya hali ya juu kiasi kwamba Hata vita itokee Leo naweza hata kubeba panga na rungu begani kwenda kupambana na adui mwenye silaha nzito na vifaru vya kivita na ndege za kivita angani. Lakini kwa maneno ya Rais wetu mpendwa mimi naweza kusonga mbele katika uwanja wa Mapambano uwakao Moto Pasipo kurudi Nyuma.

Rais Samia siyo Binadamu wa kawaida.ni mtu na nusu,ni zaidi ya kiongozi.Amenijaza ujasiri sana leo hii zaidi ya ule niliokuwa nao. Katika andiko lake katika siku hii ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi letu la JWTZ tangia kuasisiwa kwake amenukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa yasemayo "Moyo Kwanza kabla ya silaha" yaliyotolewa na Mwalimu Nyerere wakati huo kama sehemu ya hotuba yake.

Rais wetu mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Kwa moyo wa waliotangulia mbele za haki na Moyo wa Makamanda na wapiganaji Wetu Taifa letu limeendelea kuwa imara,mipaka yetu imeendelea kuwa salama na watanzania wameendelea kuishi kwa amani katika Nchi yao.

Akamalizia kwa kusema ya kuwa Utii wenu ,nidhamu yenu na utayari wenu kwa Nchi yetu ndio Msingi wa watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi.lindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa tena nguvu kubwa sana.Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu nipo pamoja Nanyi kwa Hali zote.

Ndugu zangu maneno aliyomaliza hapo mwishoni Rais wetu ndiyo yamenitoa na kunibubujisha machozi kuwahi kutokea.Maneni ya kwamba Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa Amiri Jeshi Mkuu Nipo Nanyi kwa Hali zote .ni maneno yenye kujawa na uzalendo wa hali ya juu sanaaaaaaa Kwa Taifa letu.

Ni Maneno yenye kuonyesha ni namna gani Rais wetu amelitanguliza mbele Taifa letu na kuwa tayari kulipigania,kulitetea na kulilinda katika hali zote na kwa gharama yoyote ile iwayo. Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana.View attachment 3084305View attachment 3084306

Umeandika ati "Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti."

Najiuliza:
1) Je, ni kweli anagusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti?
2) Je, huyo Mwakilishi (Serikali ya Kijiji, Mtaa, Jimbo) wa hao Wanyonge wasio na sauti anawafikia na kuwagusa nani?
3) Je, hao wanaondolewa Ngorongoro na Kilwa, km, kupisha Wawekezaji wa nje, na hasa Uarabuni, siyo Wanyonge?
4) Tozo kwa kila mwamala na biashara ni kwa ajili ya Wanyonge wasio na sauti?
5) Kama kwa awamu hii ya utawala wake, ameweza kuigeuza nchi shamba la bibi, je, akiingia tena madarakani, kwa kuchaguliwa na ikiwa na awamu yake ya mwisho, hakuna shaka hata hao Wanyonge wasio na sauti watawekezwa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.

Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna Amiri Jeshi Mkuu wa Viwango vya Kidunia katika Mzani wa uzito wa Juu,Tuna Mzalendo wa kweli mbele yetu,Tuna Mama hodari Mwenye kiapo cha kuitetea,kulinda na kulipigania Taifa Letu kwa Jasho na Damu.Tuna Mama wa Nguvu , shupavu, imara na madhubuti kwelikweli.

Nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na kukuta ameandika ujumbe wake kwenda kwa Jeshi letu lenye uzalendo wa hali ya juu kabisa. Maneno ambayo nilipokuwa nayasoma nimejikuta nikibubujikwa na machozi ya furaha kuwahi kutokea .

Nimejikuta Moyo wangu ukijawa na Morali ya hali ya juu kiasi kwamba Hata vita itokee Leo naweza hata kubeba panga na rungu begani kwenda kupambana na adui mwenye silaha nzito na vifaru vya kivita na ndege za kivita angani. Lakini kwa maneno ya Rais wetu mpendwa mimi naweza kusonga mbele katika uwanja wa Mapambano uwakao Moto Pasipo kurudi Nyuma.

Rais Samia siyo Binadamu wa kawaida.ni mtu na nusu,ni zaidi ya kiongozi.Amenijaza ujasiri sana leo hii zaidi ya ule niliokuwa nao. Katika andiko lake katika siku hii ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi letu la JWTZ tangia kuasisiwa kwake amenukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa yasemayo "Moyo Kwanza kabla ya silaha" yaliyotolewa na Mwalimu Nyerere wakati huo kama sehemu ya hotuba yake.

Rais wetu mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Kwa moyo wa waliotangulia mbele za haki na Moyo wa Makamanda na wapiganaji Wetu Taifa letu limeendelea kuwa imara,mipaka yetu imeendelea kuwa salama na watanzania wameendelea kuishi kwa amani katika Nchi yao.

Akamalizia kwa kusema ya kuwa Utii wenu ,nidhamu yenu na utayari wenu kwa Nchi yetu ndio Msingi wa watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi.lindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa tena nguvu kubwa sana.Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu nipo pamoja Nanyi kwa Hali zote.

Ndugu zangu maneno aliyomaliza hapo mwishoni Rais wetu ndiyo yamenitoa na kunibubujisha machozi kuwahi kutokea.Maneni ya kwamba Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa Amiri Jeshi Mkuu Nipo Nanyi kwa Hali zote .ni maneno yenye kujawa na uzalendo wa hali ya juu sanaaaaaaa Kwa Taifa letu.

Ni Maneno yenye kuonyesha ni namna gani Rais wetu amelitanguliza mbele Taifa letu na kuwa tayari kulipigania,kulitetea na kulilinda katika hali zote na kwa gharama yoyote ile iwayo. Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana.View attachment 3084305View attachment 3084306

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kaka inaonekana unahisia kali sana,machozi ya nn tena.
 
JWTZ ni miongoni mwa majeshi bora kabisa barani Afrika na yenye kuheshimika sana .hii ni kutokana na nidhamu ,utii, unyenyekevu uimara na uhodari mkubwa ilionao. Kwa hiyo jitahidi kuwa na heshima kwa chombo chetu hiki.
Yaani kuwaibia kura ndio heshima????
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.

Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna Amiri Jeshi Mkuu wa Viwango vya Kidunia katika Mzani wa uzito wa Juu,Tuna Mzalendo wa kweli mbele yetu,Tuna Mama hodari Mwenye kiapo cha kuitetea,kulinda na kulipigania Taifa Letu kwa Jasho na Damu.Tuna Mama wa Nguvu , shupavu, imara na madhubuti kwelikweli.

Nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na kukuta ameandika ujumbe wake kwenda kwa Jeshi letu lenye uzalendo wa hali ya juu kabisa. Maneno ambayo nilipokuwa nayasoma nimejikuta nikibubujikwa na machozi ya furaha kuwahi kutokea .

Nimejikuta Moyo wangu ukijawa na Morali ya hali ya juu kiasi kwamba Hata vita itokee Leo naweza hata kubeba panga na rungu begani kwenda kupambana na adui mwenye silaha nzito na vifaru vya kivita na ndege za kivita angani. Lakini kwa maneno ya Rais wetu mpendwa mimi naweza kusonga mbele katika uwanja wa Mapambano uwakao Moto Pasipo kurudi Nyuma.

Rais Samia siyo Binadamu wa kawaida.ni mtu na nusu,ni zaidi ya kiongozi.Amenijaza ujasiri sana leo hii zaidi ya ule niliokuwa nao. Katika andiko lake katika siku hii ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi letu la JWTZ tangia kuasisiwa kwake amenukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa yasemayo "Moyo Kwanza kabla ya silaha" yaliyotolewa na Mwalimu Nyerere wakati huo kama sehemu ya hotuba yake.

Rais wetu mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Kwa moyo wa waliotangulia mbele za haki na Moyo wa Makamanda na wapiganaji Wetu Taifa letu limeendelea kuwa imara,mipaka yetu imeendelea kuwa salama na watanzania wameendelea kuishi kwa amani katika Nchi yao.

Akamalizia kwa kusema ya kuwa Utii wenu ,nidhamu yenu na utayari wenu kwa Nchi yetu ndio Msingi wa watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi.lindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa tena nguvu kubwa sana.Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu nipo pamoja Nanyi kwa Hali zote.

Ndugu zangu maneno aliyomaliza hapo mwishoni Rais wetu ndiyo yamenitoa na kunibubujisha machozi kuwahi kutokea.Maneni ya kwamba Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa Amiri Jeshi Mkuu Nipo Nanyi kwa Hali zote .ni maneno yenye kujawa na uzalendo wa hali ya juu sanaaaaaaa Kwa Taifa letu.

Ni Maneno yenye kuonyesha ni namna gani Rais wetu amelitanguliza mbele Taifa letu na kuwa tayari kulipigania,kulitetea na kulilinda katika hali zote na kwa gharama yoyote ile iwayo. Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana.View attachment 3084305View attachment 3084306

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Vua chupi haraka Sana akuweke nyuma cha moto. Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Back
Top Bottom