Maneno haya ya Rais Samia yamenibubujisha Machozi ya furaha kuwahi kutokea

Mr mwashambwa hebu punguza basi hivi hapo cha ajabu nini? Tufanye wewe hukutarajia aongee alivyoongea!?
Maana ulivyoongea kwa msisitizo mimi nikajua labda amekuteua kuwa brigedia genero!?
 
Wewe jamaa unavuka mipaka ya kusifia! Anafanya vizuri katika baadhi ya mambo ila si kwa sifa hizi! Hahah
 
Bado kububujikwa na uharo tu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…