Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #61
Sina baya na mtu mimiWewe ni hopeless.
Nakuja mlowo tububujikwe pamoja pale SAITEMANdugu zangu Watanzania,
Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.
Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna Amiri Jeshi Mkuu wa Viwango vya Kidunia katika Mzani wa uzito wa Juu,Tuna Mzalendo wa kweli mbele yetu,Tuna Mama hodari Mwenye kiapo cha kuitetea,kulinda na kulipigania Taifa Letu kwa Jasho na Damu.Tuna Mama wa Nguvu , shupavu, imara na madhubuti kwelikweli.
Nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na kukuta ameandika ujumbe wake kwenda kwa Jeshi letu lenye uzalendo wa hali ya juu kabisa. Maneno ambayo nilipokuwa nayasoma nimejikuta nikibubujikwa na machozi ya furaha kuwahi kutokea .
Nimejikuta Moyo wangu ukijawa na Morali ya hali ya juu kiasi kwamba Hata vita itokee Leo naweza hata kubeba panga na rungu begani kwenda kupambana na adui mwenye silaha nzito na vifaru vya kivita na ndege za kivita angani. Lakini kwa maneno ya Rais wetu mpendwa mimi naweza kusonga mbele katika uwanja wa Mapambano uwakao Moto Pasipo kurudi Nyuma.
Rais Samia siyo Binadamu wa kawaida.ni mtu na nusu,ni zaidi ya kiongozi.Amenijaza ujasiri sana leo hii zaidi ya ule niliokuwa nao. Katika andiko lake katika siku hii ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi letu la JWTZ tangia kuasisiwa kwake amenukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa yasemayo "Moyo Kwanza kabla ya silaha" yaliyotolewa na Mwalimu Nyerere wakati huo kama sehemu ya hotuba yake.
Rais wetu mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Kwa moyo wa waliotangulia mbele za haki na Moyo wa Makamanda na wapiganaji Wetu Taifa letu limeendelea kuwa imara,mipaka yetu imeendelea kuwa salama na watanzania wameendelea kuishi kwa amani katika Nchi yao.
Akamalizia kwa kusema ya kuwa Utii wenu ,nidhamu yenu na utayari wenu kwa Nchi yetu ndio Msingi wa watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi.lindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa tena nguvu kubwa sana.Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu nipo pamoja Nanyi kwa Hali zote.
Ndugu zangu maneno aliyomaliza hapo mwishoni Rais wetu ndiyo yamenitoa na kunibubujisha machozi kuwahi kutokea.Maneni ya kwamba Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa Amiri Jeshi Mkuu Nipo Nanyi kwa Hali zote .ni maneno yenye kujawa na uzalendo wa hali ya juu sanaaaaaaa Kwa Taifa letu.
Ni Maneno yenye kuonyesha ni namna gani Rais wetu amelitanguliza mbele Taifa letu na kuwa tayari kulipigania,kulitetea na kulilinda katika hali zote na kwa gharama yoyote ile iwayo. Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana.View attachment 3084305View attachment 3084306
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Fanya kazi ya kutukuka na yenye kuacha alama kwa watu ili nawe usifiwe.Sifa za kipumbavu
Ndugu zangu Watanzania,

ADC wa sasa ni BGR GENERAL......... time flies aseeeee
Afu MAJ GEN GAGUTI ni nani sasa nimemwona leo hapo karibu na HON PRESIDENTE?????
πKila siku dume zima UNABUBUJISHWA MACHOZI, WE HUOGOPI?
Bado KUBUBUJISHWA SAMADI na MAAFANDE WABOBEZI.
"MIMI MAVIII TUUUU, NIKIINGIA MIMI MAVII TUUUU...... NATAKA JOKERII... NATAKA MAVIII TUUU"
WE HUOGOPI?
HILI NALO MKALITAZAME.
Cc: Nyundo Extrovert cocastic Mbaga Jr Yohimbe bark fundi bishoo Mzee wa kupambania dronedrake The Icebreaker mshamba_hachekwi
Kuandika tu naona ni mgogoro.ungejitajidi urejee hata shule kujifunza kuandikaGrigedia hawezi kuwa ADC
Kuandika tu naona ni mgogoro.ungejitajidi urejee hata shule kujifunza kuandika
Ndo ameshakuwa sasabrigedia hawezi kuwa ADC
Kaa kwa kutulia huko wewe.Ni typing error, but huo ndio ukweli ndio maana Kanal Abraham wa jk alipopanda cheo akaondoka na kuja Kanali mkeremi na mkeremi after kupanda cheo akaondoka akaja mwingine
Brigedia hawezi kuwa ADC
Kila ukibubujikwa na machozi unaanzisha thread si utajaza server bila sababu za msingi?Ndugu zangu Watanzania,
Tembeeni vifua mbele,tembeeni kwa maringo,tembeeni kwa Madaha,tembeeni bila hofu,tembeeni bila wasiwasi,tazameni mbele kwa matumaini ,tazameni mbele kwa furaha kwa sababu kwa hakika na kiukweli Tanzania tuna Rais kwelikweli.
Tuna kiongozi mbele yetu Watanzania,tuna Amiri Jeshi Mkuu wa Viwango vya Kidunia katika Mzani wa uzito wa Juu,Tuna Mzalendo wa kweli mbele yetu,Tuna Mama hodari Mwenye kiapo cha kuitetea,kulinda na kulipigania Taifa Letu kwa Jasho na Damu.Tuna Mama wa Nguvu , shupavu, imara na madhubuti kwelikweli.
Nimepita katika ukurasa wa Twitter wa Rais wetu na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na kukuta ameandika ujumbe wake kwenda kwa Jeshi letu lenye uzalendo wa hali ya juu kabisa. Maneno ambayo nilipokuwa nayasoma nimejikuta nikibubujikwa na machozi ya furaha kuwahi kutokea .
Nimejikuta Moyo wangu ukijawa na Morali ya hali ya juu kiasi kwamba Hata vita itokee Leo naweza hata kubeba panga na rungu begani kwenda kupambana na adui mwenye silaha nzito na vifaru vya kivita na ndege za kivita angani. Lakini kwa maneno ya Rais wetu mpendwa mimi naweza kusonga mbele katika uwanja wa Mapambano uwakao Moto Pasipo kurudi Nyuma.
Rais Samia siyo Binadamu wa kawaida.ni mtu na nusu,ni zaidi ya kiongozi.Amenijaza ujasiri sana leo hii zaidi ya ule niliokuwa nao. Katika andiko lake katika siku hii ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi letu la JWTZ tangia kuasisiwa kwake amenukuu maneno ya Hayati Baba wa Taifa yasemayo "Moyo Kwanza kabla ya silaha" yaliyotolewa na Mwalimu Nyerere wakati huo kama sehemu ya hotuba yake.
Rais wetu mpendwa ameendelea kusema ya kuwa Kwa moyo wa waliotangulia mbele za haki na Moyo wa Makamanda na wapiganaji Wetu Taifa letu limeendelea kuwa imara,mipaka yetu imeendelea kuwa salama na watanzania wameendelea kuishi kwa amani katika Nchi yao.
Akamalizia kwa kusema ya kuwa Utii wenu ,nidhamu yenu na utayari wenu kwa Nchi yetu ndio Msingi wa watanzania kuendelea kuwaamini na kuwa na matarajio makubwa nanyi.lindeni imani hiyo kwa nguvu kubwa tena nguvu kubwa sana.Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu nipo pamoja Nanyi kwa Hali zote.
Ndugu zangu maneno aliyomaliza hapo mwishoni Rais wetu ndiyo yamenitoa na kunibubujisha machozi kuwahi kutokea.Maneni ya kwamba Endeleeni kufanya kazi zenu Mkijuwa Amiri Jeshi Mkuu Nipo Nanyi kwa Hali zote .ni maneno yenye kujawa na uzalendo wa hali ya juu sanaaaaaaa Kwa Taifa letu.
Ni Maneno yenye kuonyesha ni namna gani Rais wetu amelitanguliza mbele Taifa letu na kuwa tayari kulipigania,kulitetea na kulilinda katika hali zote na kwa gharama yoyote ile iwayo. Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sana.View attachment 3084305View attachment 3084306
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Itabidi upelekwe kwa Jimoni a.k.a Double J ππNakuja mlowo tububujikwe pamoja pale SAITEMA
Umeelewa andiko langu msingi wake?Kila ukibubujikwa na machozi unaanzisha thread si utajaza server bila sababu za msingi?
Nitabubujika zaidItabidi upelekwe kwa Jimoni a.k.a Double J ππ
Hayo ni maandishi ya uvccm.Umeelewa andiko langu msingi wake?
Naona hata kuandika tu kwako ni shida .hii inaonyesha namna ulivyo mbumbumbu na sifuri kichwani mwakoHivi huyu jamaa ana akili hata ile kidogo tu ya kumqezesha kuqeka tonge mdomoni, yaan hawazi kitu zaidi ya kuandika ujinga
Nani kakwambia kuwa mimi ni chawa.