Wacha upotoshaji, USA ajawahi kuwa na shida ya Iran kuwa na Nuclear, kimbekembele ni Ocupied Zionist State ndio wanaogopaHaya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran,
Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu.
Marekani amekuwa akivutana sana na Iran kwenye issue ya Nuclear ambayo ni silaha hatari sana na tishio kubwa kwa adui, na kwa upande wa Israel ni issue ya ushawishi wa Kikanda, ambapo Iran alikuwa na missile capabilities kubwa.
Lakini kwa sasa wanajificha kwenye mgongo kwa kauli kwamba wanawasaidia wananchi wa Iran kupambania mabadiliko ya taifa lao
Kifupi sio ndoto, imeandikwa kwenye vitabu vyote kuwa atachukua hayo maenei na atatawala dunia ,mareksni yenyewe itaporomoka. After time Mungu atawapiga pigo takatiHii ni vita ya military hegemony, Israel bado ana ndoto ya kuzidi kuchukua maeneo Kwa njia ya moja Kwa moja au isiyo ya moja Kwa moja, ili uweze Hili lazima lisiwepo taifa la kuchallenge kijeshi, Iran anaonekana kama ni taifa linaloweza kuchallenge military hegemony ya Israel, hivyo Israel anafanya Kila aliwezalo Hilo lifanikiwe, Israel Hana haja ya negotiations (hiki kitu watu hawakijui).
Kwenye Haya mashambulio ya US-Israel Kwa Iran, Kipindi watu wapo uelekeo mzuri wa mazungumzo Israel anawaambia Marekani kuwa sisi tunakwenda kuivamia Iran, basi akawa Hana jinsi ikabidi na yeye aunge tela maana alihofia kama Israel ataivamia Iran basi Iran lazima atalipiza Kwa kupiga US assets middle east maana kuna dalili zilionesha kuwa kutakuwa na joint strikes (Haya ni maneno ya Marco Rubio, US secretary) hii ni mara tatu au ya pili Israel anaivamia Iran kwenye Kipindi cha Negotiations, hii inasababisha kupotea Kwa uaminifu na inawezekana ikaleta ugumu kurudi tena mezani au kurudi mezani bila ceasefire.
US ambassador to Israel, Mr Huckabee alisema juzi kuwa itakuwa ni sawa kama Israel ikaendelea na mission yake ya " Greater Israel" maana Yake ni kwamba hizi si hadithi Bali ni mpango ulio wazi ambao Una support kubwa Sana, hivyo nchi za kiarabu zijiandae kupokea kipigo cha mbwa mwizi miaka ya baadae.
Siku zote watu wanataka waingie katika "negotiations" wakiwa na "upper hand".Hii ni vita ya military hegemony, Israel bado ana ndoto ya kuzidi kuchukua maeneo Kwa njia ya moja Kwa moja au isiyo ya moja Kwa moja, ili uweze Hili lazima lisiwepo taifa la kuchallenge kijeshi, Iran anaonekana kama ni taifa linaloweza kuchallenge military hegemony ya Israel, hivyo Israel anafanya Kila aliwezalo Hilo lifanikiwe, Israel Hana haja ya negotiations (hiki kitu watu hawakijui).