Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?"
Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake.
Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya mambo yalivyo. Akamuambia kamwe asije akaishi kwa kuikimbia asili. Huwezi kupambana na asili na ukashinda.
Kazi kwenu wanawake wa nyakati hizi.