Ofcourse inategemea unataka kufanya nini Sperm ni nyingi wakati Yai ambalo linahitaji kuwa fertilized ni machache..., ndio maana kwenye nyuki akitaka kuanza safari ya umalikia anapaa na kwenda mbali wenye nguvu madume ndio wanampanda na anatunza mbegu (madume haya yakimaliza kazi yanakufa) na yeye akishapata mayai mengi anarudi kwenye mzinga na kazi yake inakuwa ni kufyatua mayai ambayo mwisho wa siku yanakuwa nyuki (haimaanishi na sisi wanaume tukipanda wake zetu tufe)
Pili kuna sehemu ilikuwa ruksa kwa mwanamke mmoja kuwa na wanaume zaidi ya mmoja (wanaume walikuwa wachache)
Wamasai walikuwa wakienda kutafuta malisho akija mmasai mwingine kama mwenye nyumba ameondoka ruksa kumiliki hio nyumba (it worked for them and it had a purpose)
Zamani ilikuwa wake na watoto ndio nguvu kazi ukiwa na watoto wengi ndio utajiri kwahio unaweza ukawa na kijiji kizima watalima na kujilisha (leo hii kila mdomo unahitaji nguvu za wazazi kulishwa, hata wewe tu kujilisha ni shughuli; ujira umekuwa shughuli kuupata)
Hence to each their own na kila zama na vitabu vyake....