Maneno ya Mchepuko: "Bibi yangu aliwahi kuniambia mwanaume hashibi mwanamke mmoja"

Aahaaaa
 
Simba majike ndio bread winner, dume linakuja kula tu na ndio anaanza kula kwanza mpaka ashibe ndio familia ianze kula.
Ila anashiba kwanza Ili alilinde kundi

Analishwa Ili ashibe

Bila yeye kuwepo pale hakuna pride
 
Hili ni kweli

Na vile vile majike hayo hayo yakikutana na madume mengine yanayojua chimbo za majani (zingatia neno majani) mbalimbali wanapeana kama kawaida, hata kama kuna dume bandani. Vile vile mabibi wa zamani walichanganyia sana babu zetu watoto ndo ukaja msemo kitanda hakizai haramu, na mababu wakalea. Ni basi tu hayakusemwaga kwa saut hapo zamani.....
 
Na walikuwa wanaambiwa kabisa "usiweke mayai yote kwenye kapu moja" wakimaanisha changanya mbegu kwenye uzao wako..

Kimsingi zamani wazee wetu waliishi to their fullest...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…