Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

lofa kweli,
amekosa kiki kabisa now days mpaka amefikia hatua hiii ya porojo na uzushi?🐒
 
Hakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tu
Shetani yule kaharibu maisha ya watu wengi sana hata akiuliwa itakuwa ni good riddance. Sikupenda kabisa unyama na udhalilishaji aliomfanyia Le Mtuzi, na wengineo. Kuna vitu huwezi kumfanyia binadamu mwenzio halafu ukabaki salama. Hatakaa aishi kwa amani kamwe mbwa yule; na atakuja kufa kifo kibaya sana!
 
Kaka umeongea kitu cha msingi, she is not packing a heat, should be standard issued since she is danger
 
Pole kwa maswahibu.

Hivi, Rekodi za picha na video zilizopatikana ni kwa ajili ya FBI tu JF haturuhusiwi kuziona na sisi tufanye uchunguzi Binafsi kuwatambua wahalifu?
Fbi ni law enforcement so lazima watumiwe wao kwanza iwasaidie ku id who are they, ukizitupia jf nini kitatokea? Kuna msaada wowote atapata?
 
Paranoia induction - wanajua Fbi wako involved hawawezi kumdhuru, inawezekana wameamua kumfanyia psychological attacks ili awe constantly anxious and fearful.

if so, atasumbuka sana kwa sababu wameshajua udhaifu wake.
Wanaweza kujaribu. Unadhani hawajui kwamba kuna vifo vingi vya kihalifu vimetokea Marekani na hao FBI hawajavipatia ufumbuzi? Vifo vya Watanzania waliochomwa moto kwenye gari Michigan Marekani miaka ya elfu mbili mpaka leo havijatatuliwa. Wauaji hawajajulikana.
 
Kwake si kificho, mume wake anajulikana so kwa address za makazi ni rahis kufika kwa mtu
But then kufika is another thing, ku harm muhusika is another thing

Katika medani za kivita.
Kumjua Adui yako walau Sura na majina. Ni nusu ya ushindi.

Kujua location ya anapoishi ni robot tatu ya ushindi.

Tena ukizingatia anatafutwa na watu wenye nguvu ya dola na fedha.
Awe Makini Sana.

Usalama wake ni kukaa unknown place.

Ukiweza kuficha ID na Location yakk Adui zako kukupata ni kama muujiza
 
Swadaktaaaa, ninapoongea kuwa hakuna mwenye shida na huyo kigagula nilikuwa na maana kama Yako bahati mbaya hawa haters wa Samia ni wagumu kuelewa sababu wametanguliza zaidi chuki Hadi wanasahau matumizi ya akili zao. Watu wajue unapoishi kama hivyo wagonge mara kugonga huo mlango halafu useme eti ndo unasakwa na serikali?!!!! 🤣🤣🤣🤣

Cha kuchekesha zaidi ni kwamba eti Kuna mipimbi humu inaamini kabisa na kurusha matusi eti ni kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣, acha kina heche waendelee kujipigia tone tone
 

Iwe kweli au isiwe.

Ila watu wanakujua Kwa sura tena bahati nzuri ni maarufu. Kwamba picha zako ziko kila Kona mtandaoni.

Sio yule mtu ambaye picha yake unapewa mona, tena passport na haionekani vizuri na MTU mwenyewe sio Maarufu. Huyu kumsaka ni kazi kidogo.

Alafu wanajua unaishi wapi.
Kwamba wanauwezo WA kukufuatilia 24/7 unapoingia, unapotoka. Wanaweza kupanga nyumba karibu yako.

Aiseeh! Ni hatari Sana kama ni kweli wanajua anapoishi.

Ni tofauti na kufuatilia Unknown user kama humu JF.
Mtu anatumia ID Fake, hujui sura, jina na location.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…