Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Marekani mambo mengi yanafanyika mtandaoni ni rahisi mtu kukufuatilia na kujua ulipoKatika medani za kivita.
Kumjua Adui yako walau Sura na majina. Ni nusu ya ushindi.
Kujua location ya anapoishi ni robot tatu ya ushindi.
Tena ukizingatia anatafutwa na watu wenye nguvu ya dola na fedha.
Awe Makini Sana.
Usalama wake ni kukaa unknown place.
Ukiweza kuficha ID na Location yakk Adui zako kukupata ni kama muujiza
Sidhani itakuwa ni nyumba ya kununua, kwa nje address ya mtu kuipata ni rahisi..Basi kuna kitu hakiko Sawa.
Na hajawahi kuhama?
Sidhani itakuwa ni nyumba ya kununua, kwa nje address ya mtu kuipata ni rahisi..
Acha Abdul aendelee kujitajirisha huku mnalipwa buku 7.Swadaktaaaa, ninapoongea kuwa hakuna mwenye shida na huyo kigagula nilikuwa na maana kama Yako bahati mbaya hawa haters wa Samia ni wagumu kuelewa sababu wametanguliza zaidi chuki Hadi wanasahau matumizi ya akili zao. Watu wajue unapoishi kama hivyo wagonge mara kugonga huo mlango halafu useme eti ndo unasakwa na serikali?!!!! 🤣🤣🤣🤣
Cha kuchekesha zaidi ni kwamba eti Kuna mipimbi humu inaamini kabisa na kurusha matusi eti ni kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣, acha kina heche waendelee kujipigia tone tone
Marekani mambo mengi yanafanyika mtandaoni ni rahisi mtu kukufuatilia na kujua ulipo
Mtu hatumii mtandao ni rahisi kujificha lakini kama unatumia mitandao tena hutumii jina bandia bali halisi ni rahisi mtu kukufuatilia na kukupata
US sio mbinguni lakini wapo vizuri kwenye ulinzi na usalama.Mkuu hivi kama ingekuwa wewe ndiye Mange Kimambi, unaongoza mapambano dhidi ya Dola kuanzia ya Magufuli, kisha Samia kwa kiwango cha juu Sana.
Wenzako wanapotea, wanatekwa na kuuawa.
Alafu unafahamika, location yako inafahamika. Ungekuwa unaishi location hiyo?
Kwamba Marekani ni Mbinguni kuna ulinzi wa Mungu Baba?
Wanaoratibu ni hao wa ubalozini, kila kitu kinasukwa hapo..Eleza kwa namna ipi?
Mange hatafutwi na serikali ya Marekani.
Eleza Kwa namna ipi wanaontafuta Mange wakitokea Tanzania wanaweza kumpata kupitia mtandao(teknolojia) wakati hapahapa Bongo inashindikana
US sio mbinguni lakini wapo vizuri kwenye ulinzi na usalama.
Kama umenunua nyumba huna budi bali kuishi kwa tahadhari.
Afu mwetu nimegundua wewe kijana wa kizaramo kabisaPamoja na "kukosa" cctv kipi kibaya alichokifanya hadi uanze kusimulia upya kama fundi milango?Au unataka uombe ulinzi wa nyumba?
Kaka huyo kijana ni mzaramo hutaweza kujibishana nayeNiwie radhi kama nimekukwaza, usikasirike.
Nimetoa tu ushauri wa kitaalam.
Chawa huwa mna shida gani sijui..Aache ufala, hao ni wacheza porn wenzake walikuja kumtembelea na kujadili scenes zao mpya. Nani ahangaike na hako kakigagula kalichoshindwa?!!! Ni machadema peke yake ndo yanaweza kuamini huo ujinga uliopikwa kishamba.
Kwa ufala huu, Raisi Samia ataendelea kudunda sana tu.
Nafuu niwe mpumbavu kuliko kuwa mfuasi wa huyo kigagula. Yaani watu na akili zenu mnamuabudu huyo malaya!!Wewe naye ni mpumbavu
Easy sana kujua nyumba mtu anaishi nchi aliyopo Mange. Ugumu upo kwenye kumdhuru na usijulikane au kudhurika na wewe mwenyewe. Cameras and guns everywhere, usipokua navyo hivyo vitu viwili majirani zako wanavyo.Mpaka wamejua anapoishi. Wamefika kwake. Wamebisha Mlango. Hatari Sana hiyo
Kwanini MangeKimambi hakumtafutia Polepole asylum pale California kama yeye anavyoishi huko?Kama tulikuwa tunazimiwa internet kwasababu ya Polepole kila akifanya press yake unashangaa vipi kwenye hili?
Kwa hiyo USA napo sio salama , hakuna mtu mwenye time naye ...Chawa huwa mna shida gani sijui..
Heshimu instinct za mtu, binadamu ni kiumbe anayeweza kuhisi hatari kwa namna ya kipekee, unaweza kila siku ukawa unapita njia flani lakini kuna siku tu moyo unakuwa mzito na kumbe ni kweli hio njia kunakuwa na hatari.
Mange si mjinga, ameheshimu hisia zake, amehisi hatari ndio maana hadi amerekodi hao watu na ku share mtandaoni.
Hata Lissu ndivyo ilikuwa hivyo alitoa taarifakuna watu wanamfuatilia, chawa mkawa mnakejeli us3ng3 kama huu, matokeo yake jamaa akapigwa risasi... Lissu alihisi hatari inamnyemelea.
Hivyo pungueni ujinga.
Easy sana kujua nyumba mtu anaishi nchi aliyopo Mange. Ugumu upo kwenye kumdhuru na usijulikane au kudhurika na wewe mwenyewe. Cameras and guns everywhere, usipokua navyo hivyo vitu viwili majirani zako wanavyo.
Hao hitmen kwa US kuja kwako na wakatekeleza mauaji inabidi wawe wamejipanga maana probability ya kuchomoka ni ndogo mno, wana satellite, US cctv zipo kila kona, kuna mifumo ya kusoma namba za gari..Huoni kama ni hatari
Kama walikuwa hawaangaiki mbona wamemfungia insta, na account za bank za huku na sambamba nakumfungulia kesiHakuna anayehangaika kumdhuru huyo kigagula.
Hadi Abdul alimfuata US how comes unasema hawana tme nae?Kwa hiyo USA napo sio salama , hakuna mtu mwenye time naye ...