Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

Kwanini MangeKimambi hakumtafutia Polepole asylum pale California kama yeye anavyoishi huko?
Wewe unafurahia binadamu wenzako wakidhurika? Kwako unaona ni sahihi serikali kupoteza resources zake kwaajili ya kumuinda mtu mmoja?
 

Hapana Mkuu.
Ulinzi wa binadamu sio wakuuamini kwa asilimia hata 50.

Tena katika mazingira ambayo unayepambana naye anawezq kutoa kiasi kikubwa cha pesa ili unaswe.
Unafikiri haohao Marekani ni malaika?
 
Upo sahihi. Watanzania waliouawa jimbo la Michigan Marekani miaka ya elfu mbili mpaka leo waliowaua hawajapatikana. Wakati huohuo wengi wanaofanya uhalifu Marekani wanakamatwa na kuchukuliwa hatua kali. Ni hivi kikubwa kinachowafanya wanaotaka kumdhuru Mange, kama kweli wapo, washindwe kumdhuru ni matokeo ya kitakachofuata baada ya hapo. Hivo tu. Vinginevyo sasahivi tungekua tunaongea mengine kabisaa.
 
Eleza kwa namna ipi?
Mange hatafutwi na serikali ya Marekani.
Eleza Kwa namna ipi wanaontafuta Mange wakitokea Tanzania wanaweza kumpata kupitia mtandao(teknolojia) wakati hapahapa Bongo inashindikana
Mange yuko wazi kwenye maisha yake binafsi
Hakuna asiyejua anaishi los angeles in short mange maisha yake binafsi kwa asilimia kubwa ameweka wazi mtu kama huyo kumfuatilia ni rahisi
 
Hapana Mkuu.
Ulinzi wa binadamu sio wakuuamini kwa asilimia hata 50.

Tena katika mazingira ambayo unayepambana naye anawezq kutoa kiasi kikubwa cha pesa ili unaswe.
Unafikiri haohao Marekani ni malaika?
Ni kweli , huyo hitman ajipange pia maana msako utakaofuata si mchezo..
Mange tayari yupo kwenye rada za FBI , hivyo issue zake na harakati FBI wanafahamu..
 
Cross border hijackers/Killers
 
Wanamuua Mange mmoja wanajitokeza kina Mange 100.

Waache ujinga wa kuua watu wadili na matatizo ya wananchi..!!
Veggies wanakera sana..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…