Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ndo hivo. Tulisema tukaitwa hater.. Budada bado saaana hata pic za website unaiba???
Lakini keshatengeneza pesa za maana eenh!
hahaha Mange leo kaipata na ye mwenyewe kesha admit kuwa kaanza kutumia bidhaa na kutoa ile trademark... angekua muwazi lakin ye akaminya kama yake. Silence sometimes mean NO labda yule dada alikua hataki kufanya biashara nae.. mashauzi clasic akaamua kuanza kufanya yake asifiwe......mtu ana MBA hapo ambayo it says a lot kuhusu business angekua kasoma community development si ingekua balaa....
halafu anasema hataki Shari mwezi huu ye alivyokuwa anamchambua kama karanga mume wa dida hakuyajua hayo yote. na anajichanganyaje sasa....
Mara oonh si deal na illegal immigrants hu deal na illegal immigrants halafu ushaandika page nzima kumuhusu.
HAJAJIPANGA WACHA WAMPANGE VIZURI.
ule ni wizi live na za mwizi 40. Me nilisema masters ya kuandika makombe km zingine zilivyo za chupi. Kiko wapi sasa
Ashajielezea kwenye blog yake...na evidence juu...
Jamani simu yangu ina instgram ila sijui jinsi ya kuitumia kidude gani nasearch? Lol
hahahahahahaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaa naomba nicheke kwanza
je alikopi hajakopi? Alitoa credit lwa mwenye mali au hakutoa?? Pale mbulula tu ndio wa kumielewa ILA kwa critical thinkers ule ni wizi. Period. Since washabiki wake wengi (sio wote ILA ni wengi) ni wa master za chupi a.k.a shallow minded km ile ya makombe watamuelewa tu