Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Kaandika huko mtandao wa X..

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.

Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027

Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
 
Hili wazo nililipendekeza muda sana, tukifanya maandamano wakati wa AFCON tutakuwa tumekamata panapostahili. Wakitoka na silaha wataua hadi wageni. Hii ni golden chance ya madai yetu kupata ufumbuzi. Tupush agenda hii kwa nguvu zore hadi dunia nzima ijue Tanzania sio salama.
 
Back
Top Bottom