Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

Kaandika huko mtandao wa X..

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.

Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027

Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
HEBU ACHANENI NA HUYO MPOTOSHAJI WAKATI YEYE ANAKULA MEMA YA NCHI HUKO KWA OBAMA AKITEGEMEA MUANGALIE POST ZAKE APATE VIEWERS/MSHIKO; ANATAKA NJIE MUUWAWE HUKU APATE CHA KUPOSTI NA KUMUONGEZEA KIPATO!!!
PAMOJA NA KUWA CCM INACHECHEMEA ILA UKWELI TANZANIA HADI SASA HAINA OPOSITION ILIYOKO TAYARI KUSHIKA MADARAKA NA KUONGOZA NCHI.
MTU ANIPE MFANO WA NCHI YENYE OPOSION AMBAYO HAIPO WELL ORGANISED HADI HUKU CHINI KAMA YA KWETU ILIYOSHIKA NCHI IKAFANIKIWA....
 
Kaandika huko mtandao wa X..

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.

Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027

Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Hakuna wa kufanya tena huo ujinga japo Bado wajinga ni wengi
 
Timing ipi ni nzuri? This is a great opportunity!

Haya yote ni matokeo ya watawala kujenga utamaduni wa kuwakandamiza raia. Kama watawala wangekuwa wanaheshimu haki ya watu ya kuandamana, obviously, watu wasingekuwa na sababu yoyote ya kutaka kuandamana siku ambayo kuna shughuli nyingine muhimu. Maandamano yao wangeyafanya siku nyingine!
Nakuhakikishia hutoona hata mmja barabarani.
 
Kaandika huko mtandao wa X..

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.

Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027

Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Kwahiyo aka kadada ndio kanaitakia mema Tanzania?

Uzuri ni kwamba Kwa Sasa vyombo vya ulinzi haviongei sana ni vitendo tu
 
Huo use!n#g@e wa maandamano hamuoni kama uneahashindikana?? Tafuteni other strategies and tactics .

Akina Mseven na Kagame walikaa msituni kutafuta ushindi, nyie mnataka mpate ushindi barabani!!?

Washenzi nyie
 
Kaandika huko mtandao wa X..

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.

Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027

Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Mh ila kimambi Kuna muda hatumii ubongo kufikiria any way ngoja tuangalie anafikiria Nini lakini hili wazi Kwa upande wangu ni BAYA SANA
 
Aje tudai wote
 
Mh ila kimambi Kuna muda hatumii ubongo kufikiria any way ngoja tuangalie anafikiria Nini lakini hili wazi Kwa upande wangu ni BAYA SANA
Angekua nchini qsingechochea anachochochea
 
Kaandika huko mtandao wa X..

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.

Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027

Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..

N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Kapiga kwenye mshono !!
 
Hili wazo nililipendekeza muda sana, tukifanya maandamano wakati wa AFCON tutakuwa tumekamata panapostahili. Wakitoka na silaha wataua hadi wageni. Hii ni golden chance ya madai yetu kupata ufumbuzi. Tupush agenda hii kwa nguvu zore hadi dunia nzima ijue Tanzania sio salama.
Msako wa nyumba kwa nyumba na risasi zinawasubiri
 
Back
Top Bottom