Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Ndio tunataka.Msako wa nyumba kwa nyumba na risasi zinawasubiri
Ndio tunataka.Msako wa nyumba kwa nyumba na risasi zinawasubiri
Mbona ulijificha OCT29? Safari hik jeshi limejipanga kweli kweli, atakaeleta fyoko ni risasi tu, na hakuna wa kufanya kituNdio tunataka.
Zile kura za mazabe zimefikia mwisho, safari hii watu wakisema uchaguzi haufanyiki, ujue hautafanyika kweli. Yaani lazima mshindi atapatikana kihalali, na hapo ndio mtajua hiki si kizazi ha ccm tena.Mbona ulijificha OCT29? Safari hik jeshi limejipanga kweli kweli, atakaeleta fyoko ni risasi tu, na hakuna wa kufanya kitu