Ngoja tuoneIla Mange 😂
Ni idea moja nzuri sana ila sio kwa nchi hii.
Jana ndio ilikua siku ya Bipolar duniani si ndio?Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Shida ni kufa tungekua hatufi ushaelewa shida tunakufa hapo ndio shida ilipoIla Mange 😂
Ni idea moja nzuri sana ila sio kwa nchi hii.
Kabisa hiyo ndio shida.Shida ni kufa tungekua hatufi ushaelewa shida tunakufa hapo ndio shida ilipo
Usijali shangazi tutahakikisha nchi yetu inaendelea kuwa na amaniNawaamini genz
Tungekua hatufiKabisa hiyo ndio shida.