Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Timing ipi ni nzuri? This is a great opportunity!N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Shida ni kufa tungekua hatufi ushaelewa shida tunakufa hapo ndio shida ilipo
Ha ha ha huyo Kibaraka Bado anatamani tupigane?
Kijana kama kwenu wanakupenda usishiriki kichafua ardhi Yako! Utspeleka vilio huko kwenu!
Hakuna uhuru unaoletwa tu on a silver platter, uhuru na haki inapolazimu hupiganiwa damu.Waponze wenzako tu
💯%.Hakuna uhuru unaoletwa tu on a silver platter, uhuru na haki inapolazimu hupiganiwa damu.
Hakuna guarantee kwamba utaishi kama hutakufa katika mapambano ya kupigania haki yako. Sababu za kufa ni nyingi kiasi cha kutokuhesabika. So, just go ahead and fight for your right!Shida ni kufa tungekua hatufi ushaelewa shida tunakufa hapo ndio shida ilipo
Ni wazo moja zuri linalohitaji kufanyiwa maandalizi tokea sasa.Kaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Kwani tayari unahitaji kukumbushwa katika muda mfupi kiasi hiki umesahau?Ila Mange 😂
Ni idea moja nzuri sana ila sio kwa nchi hii.
Uzuri wewe waandamana humuhumu JFHili wazo nililipendekeza muda sana, tukifanya maandamano wakati wa AFCON tutakuwa tumekamata panapostahili. Wakitoka na silaha wataua hadi wageni. Hii ni golden chance ya madai yetu kupata ufumbuzi. Tupush agenda hii kwa nguvu zore hadi dunia nzima ijue Tanzania sio salama.
Usisahau, hao wanaokufuga nao kifo kinawahusu kama waTanzania wengine wote; hata nguruwe kama wewe.Shida ni kufa tungekua hatufi ushaelewa shida tunakufa hapo ndio shida ilipo
Na wewe ni nguruwe vilevile, shida ni kifo Mzee wangekua wakitupiga risasi hatufi Kinjikitile ungeelewa nini kingetokea ila haya mambo ya kupigwa risasi unakufa inabidi utulie kwanza maana wataakua ukiugusa ugali waoUsisahau, hao wanaokufuga nao kifo kinawahusu kama waTanzania wengine wote; hata nguruwe kama wewe.
Mange Kimambi huyu huyu anayetaka Rais Samia,ashitakiwe ICC,ilhali anamshabikia Netanyau mwenye warrant arrest ya ICC aivamie IRAN?Kaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Ni kweli tunahitaji mabadiliko lakini njia zinazotumika sio sahihi watu wanapoteza maisha nchi inaingia matatani wao wako ma-kwao wametulia na familia zao, au ni kweli wanatumika?
Walau yeye katimiza ndoto zake ameiacha familia katikati ya ukwasi. Sasa wale vijana wengine under 20 wametimiza ndoto gani zaidi ya kuziacha familia zao kwenye majonzi makubwa?Hakuna atakae ishi milele, Lukuvi yuko wapi? Hela zote kaziacha
Nyie mnaoongea maneno kama haya wenzenu wanapigwa risasi nyie mmejifungia ndani kwenu … kwa kipi hasa mpaka mtu afe ili mabadiliko yaje embu taja kimoja worth dying for..Hakuna atakae ishi milele, Lukuvi yuko wapi? Hela zote kaziacha
Sasa unafikiri wewe ni mjanja sana kwamba unakuja kutisha watu hapa na kifo ili wasitafute HAKI ndani ya nchi hii?Na wewe ni nguruwe vilevile, shida ni kifo Mzee wangekua wakitupiga risasi hatufi Kinjikitile ungeelewa nini kingetokea ila haya mambo ya kupigwa risasi unakufa inabidi utulie kwanza maana wataakua ukiugusa ugali wao
Nice analysisNi wazo zuri sana!
Najua kufa kunaogopesha, lakini ukweli ni kwamba bila watu kujitoa mhanga, mabadiliko ya kweli hayatapatikana.
Watu wamepigana vita ili wawe huru.
Anzia kwenye vita vya mapinduzi vya Marekani kujitoa kwenye ufalme wa Uingereza.
Njoo kwenye vita vya May Mau hapo Kenya.
Zunguka Afrika nzima kwenye harakati za ukombozi.
Hapo Afrika Kusini walikufa watu wengi ili watu weusi wapate haki zao.
Chris Hani aliuliwa mbele ya binti yake kisa alikuwa mstari wa mbele kupigania haki na uhuru ambao watu wote wanao huko Afrika Kusini leo.
Medgar Evers, Martin Luther King Jr., na wengineo huko Marekani waliuliwa kisa walikuwa mstari wa mbele katika kupigania haki za watu wote.
Evers na Dr. King walikuwa ni wasomi ambao wangeweza kuachana na harakati zao za kudai haki kwa wote na kuishi maisha yao bila bugudha lakini hawakufanya hivyo.
Historia imeshaonyesha kwamba haki kwa wote huwa hazitolewi kwa hiari na waliopo madarakani. Ni lazima zidaiwe kwa njia na namna zozote zile zilizo za lazima.
Bila ya sisi kubadili fikra zetu na kuachana na uoga, kamwe hatutapata mabadiliko tunayoyataka.