HEBU ACHANENI NA HUYO MPOTOSHAJI WAKATI YEYE ANAKULA MEMA YA NCHI HUKO KWA OBAMA AKITEGEMEA MUANGALIE POST ZAKE APATE VIEWERS/MSHIKO; ANATAKA NJIE MUUWAWE HUKU APATE CHA KUPOSTI NA KUMUONGEZEA KIPATO!!!Kaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Hakuna wa kufanya tena huo ujinga japo Bado wajinga ni wengiKaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Nakuhakikishia hutoona hata mmja barabarani.Timing ipi ni nzuri? This is a great opportunity!
Haya yote ni matokeo ya watawala kujenga utamaduni wa kuwakandamiza raia. Kama watawala wangekuwa wanaheshimu haki ya watu ya kuandamana, obviously, watu wasingekuwa na sababu yoyote ya kutaka kuandamana siku ambayo kuna shughuli nyingine muhimu. Maandamano yao wangeyafanya siku nyingine!
Kwahiyo aka kadada ndio kanaitakia mema Tanzania?Kaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Mh ila kimambi Kuna muda hatumii ubongo kufikiria any way ngoja tuangalie anafikiria Nini lakini hili wazi Kwa upande wangu ni BAYA SANAKaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Aje tudai woteKaandika huko mtandao wa X..

Angekua nchini qsingechochea anachochocheaMh ila kimambi Kuna muda hatumii ubongo kufikiria any way ngoja tuangalie anafikiria Nini lakini hili wazi Kwa upande wangu ni BAYA SANA
Huyu sister inawezekana akawa anajambo lake binafsi analohitaji tofauti na kunipenda sana hii TzAngekua nchini qsingechochea anachochochea
She is getting paidHuyu sister inawezekana akawa anajambo lake binafsi analohitaji tofauti na kunipenda sana hii Tz
Sina hakika ila inawezekanaShe is getting paid
Ng’ombe wa mama, kauli za aina hii zimezoeleka. Hata kuelekea October 29, 2025 zilisikika sana, na wakati mwingine kutoka kwa mfugaji wenu!Nakuhakikishia hutoona hata mmja barabarani.
Kapiga kwenye mshono !!Kaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..
N.B Naona mbaya Itaumiza zaidi Nchi yetu pendwa
Msako wa nyumba kwa nyumba na risasi zinawasubiriHili wazo nililipendekeza muda sana, tukifanya maandamano wakati wa AFCON tutakuwa tumekamata panapostahili. Wakitoka na silaha wataua hadi wageni. Hii ni golden chance ya madai yetu kupata ufumbuzi. Tupush agenda hii kwa nguvu zore hadi dunia nzima ijue Tanzania sio salama.