Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

Mbona ulijificha OCT29? Safari hik jeshi limejipanga kweli kweli, atakaeleta fyoko ni risasi tu, na hakuna wa kufanya kitu
Zile kura za mazabe zimefikia mwisho, safari hii watu wakisema uchaguzi haufanyiki, ujue hautafanyika kweli. Yaani lazima mshindi atapatikana kihalali, na hapo ndio mtajua hiki si kizazi ha ccm tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…