Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Cybercrime law haijaanza kutumika acheni unazi. Kama kwa sheria nyingine lakini sio hiyo
 
mkuu umesema alinyea debe wiki nzima ktk kituo gani cha polisi na ni kwa kosa gani litakalomuweka wiki nzima. Mi siamini sheria inatoa haki mtu kudhaminiwa na anatakiwa akae masaa 24 polisi sasa wiki duuu??????



alikuwa osterbay polisi akawekwa pasipo julikana..kwa kosa la kutukana watu matusi mitandaoni..
 
Cyber law haijaanza kutumika acheni unazi. Kama kwa sheria nyingine sawa sio cyber law


nenda kamuulize au pitia social media zake,yeye anadai alipost kabla aija anza kutumika,kama ilianza kutumika wakati huo,anasema alikuwa marekani..
 
Ana umri gani? Huyo saizi yake ni hao hao kina Januari na /riz si Magofuli wala Lowasa. Sidhani hao wana nafasi ya kuisoma hata hiyo Blog yake. Miye mbona siijui? Wadhani kila blog husomwa? Ntapata wapi huo mda? Tupa kuleeee
 
Yule mwanamke kazidi, sijui kwanini hao wanaotukanwa mmojawapo asijilotee 'kumfanyizia' kimyakimya maana hakuna namna nyingine tena.

Usione kimya chao nifah watampata tu, tena kwenye engo ambayo ni moja kwa moja segerea, wanachokifanya kwasasa n kurekodi kila anachofanya
 
Last edited by a moderator:
tayari imeanza tumika,ndio aliyoshtakiwa nayo yule aliyepongeza majambazi kwa kwa kuua polisi
 
Yule mwanamke kazidi, sijui kwanini hao wanaotukanwa mmojawapo asijilotee 'kumfanyizia' kimyakimya maana hakuna namna nyingine tena.

Ndio nani huyu kwa hapa mjini?
 
huyu mange ni inaonekana ni bonge la kilaza,waungwana tulimshauri kiroho safi tu hapa JF,kwamba aache kutafuta umaarufu kinyesi kupitia majina ya watu,akatupuuza.bila shaka anawafatisha vilaza wenzake wanaomjaza ujinga kwa ku-comment ktk ki-blog chake.acheni yamkute ya kumkuta.naona sasa anafanya defense mechanism ili aonewe huruma na hao wabaya wake.
 
hapana hii sheria ya mtandao haijaanza kutumika. mkuu usidanganye watu bhana yule aliyepongeza majambazi ameshitakiwa kwa sheria ya magaxeti na ci ya mtandao
 
Her days are numbered, we unapomtukana na kumdhalilisha mtu kama lowasa, rizi, Makamba, Azan et all halafu utegemee kuwa salama.

Ye anadhani kukaa Kwake ughaibuni ndo hawezi kupatikana.
 
Usione kimya chao nifah watampata tu, tena kwenye engo ambayo ni moja kwa moja segerea, wanachokifanya kwasasa n kurekodi kila anachofanya

Segerea pia naona hapatoshi...wamzimishe kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Ndio nani huyu kwa hapa mjini?

Huu labda ni utani, sitaki kuamini kama humjui huyu shankupe anayeforce umaarufu kwa kutukana watu wazito katika nchi hii kupitia kiblog chake.
 
Huu labda ni utani, sitaki kuamini kama humjui huyu shankupe anayeforce umaarufu kwa kutukana watu wazito katika nchi hii kupitia kiblog chake.

Huyu info zake nimepitwa! Nipe!
 
Huyu mange atakuja kupotea kimazingira hadi watu mshangae! hizi show za kibabe haziwezi watamtenganisha mwili na roho mda si mrefu!
 

Cc: carrie, DOMOKUBWA.
Hadi huruma ujue....
Ni wa kuhurumiwa, kuna mengi zaidi msishangae hilo.Ana kihoro huyu mama.
 
Last edited by a moderator:

Marafiki zake vivuli.
 
pamoja na yote aliyofanya nampenda mange. alichokosea ni kurudi Tanzania mapema kabla wabaya wake hawajasahau michambo


Mungu amsaidie aweze kurudi US salama. nimeumia sana nadhani alikuwa hajui kuwa nchi ina wenyewe hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…