Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Hajuagi siasa huyu

Kipondi cha kampeni nilimu-unfollow maana ilikuwa too much matusi.....

Sema ubuyu wa mjini tu ulinirudisha kwake....

Ila ku-joke kuhusu infertility not right kabisa...... watu wanahangaika kupata watoto....wanapitia magumu na mitihani ya kila namna....

Haipendezi
 
Attention seeker, asipotukana serikali nani atamtaja Mange kwa lipi? Blog imebuma, biashara hola, kichwapazi amemvua nguo zote😳😳
 
Wacha nimsake nimlete hapa kwa uzi huu apate ushauri na athibitushe mapenzi enzi za olevo na mtu mmoja humu!!!aaah oops 50 active ipi sasa?!!!!
 
Sijajua huyu mwanamke anajiamini nini[emoji102]
 
Attention seeker, asipotukana serikali nani atamtaja Mange kwa lipi? Blog imebuma, biashara hola, kichwapazi amemvua nguo zote😳😳
Alivyolala ndani last time nilidhani kajifunza......

Halafu ana matusiiiiiiiiiiii kuita wenzie mbwa ni mwepesi kweli kweli

Labda mwisho wake unakuja...maana siku hizi anekuwa too much

Heri angeendelea kujikita na kuposti ubuyu tu
 
wiki hii viongozi wa ccm ngazi za juu wanapitia kipindi kigumu sana kule zitto na uchumi huku mbowe na bandari ukija kule mange na kujiuzulu kwa makamu da shida tupu.

Week ya uzito ulio tukuka alianzia ikulu anashuka sasa kuelekea ngazi za chini. Loneliness inamfanya kitu mbaya amegeuka viper.
 
Hivi huyu bibie wazazi wake hapa bongo wana cheo gani au walikuwa akina nani.
 
Week ya uzito ulio tukuka alianzia ikulu anashuka sasa kuelekea ngazi za chini. Loneliness inamfanya kitu mbaya amegeuka viper.

Du hatar sna haya mambo had mm naona kizunguzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…