displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Kwani humu JF hayumo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajuagi siasa huyuMe nimesoma nikajiweka kwenye [emoji151][emoji151] Viatu vya mrs mkuu wa jiji lakini bado nilihisi vimenibana. Ni vibaya mno kufanya personal attacks Kiama hizi anaharibu saikolojia za watu. Tangu amtukane mzee lowasa sijawahi kumuelewa tena anapenda matusi magumu magumu kurushia watu hajali kabisa I see.
sijaona sweet andika pm ............. ama unapaogopa?Dear, nilikujibu kule kwenye ile mada ingine uliponiuliza nikaribie nini? Uliiona post angu?
Attention seeker, asipotukana serikali nani atamtaja Mange kwa lipi? Blog imebuma, biashara hola, kichwapazi amemvua nguo zote😳😳Hajuagi siasa huyu
Kipondi cha kampeni nilimu-unfollow maana ilikuwa too uch matusi.....
Sema ubuyu wa mjini tu ulinirudisha kwake....
Ila ku-joke kuhusu infertility not right kabisa...... watu wanahangaika kupata watoto....wanapitia magumu na mitihani ya kila namna....
Haipendezi
Anamaadui katika pembe nne zote za dunia, halali lazima aangalie nani amemtukana wapi😎😎, aende insta, fb, what'sup, JF na kwingine anakokujua.Wacha nimsake nimlete hapa kwa uzi huu apate ushauri na athibitushe mapenzi enzi za olevo na mtu mmoja humu!!!aaah oops 50 active ipi sasa?!!!!
Alivyolala ndani last time nilidhani kajifunza......Attention seeker, asipotukana serikali nani atamtaja Mange kwa lipi? Blog imebuma, biashara hola, kichwapazi amemvua nguo zote😳😳
wiki hii viongozi wa ccm ngazi za juu wanapitia kipindi kigumu sana kule zitto na uchumi huku mbowe na bandari ukija kule mange na kujiuzulu kwa makamu da shida tupu.
Kule ninaingia kama nyumba ya mama mkwe, kwa adabu na heshima na siachi comment zaidi ya kusoma, yule ni chizi maarifa, unaweza kumsifia pia akafikiri unamchora😀tunakoelekea followers wa mange wataokotwa na jamhuri nipeni dk 5.........
Rafiki nawe umelikoroga maana Le Mutuz atakushukia atadhani Makonda ndiye mwanaume ila yeye mh! - utaniNinahisi ukaribu wa Paul na Le Mutuz unampoza, lile bifu la Mange na Le Mutuz halijaisha. Ameamua kugombana na wanaume sasa😳😳
Week ya uzito ulio tukuka alianzia ikulu anashuka sasa kuelekea ngazi za chini. Loneliness inamfanya kitu mbaya amegeuka viper.