Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mkuu embu nipe ubuyuu, maana huwa namsikia tu huyu mange, mumewe alikuwa nani???
Mange Kimambi ni mdada wa mjini, mtoto wa marehemu Jumanne Kimambi alikuwa mfanya biashara mashuhuri miaka ya 90. Mange alipata mchumba wa kimarekani wakati akiwa anaishi Dubai na alifunga ndoa Dar. Ni mama wa watoto watatu na anaishi Marekani. Amaeachwa na mzungu juzi tu, wino kwenye karatasi ya talaka haujakauka bado.
 
clouds media huwa wanajifanya vichwa panzi lakini hakuna anayenyanyua kolomeo lake kumtaja Mange , hata kwenye magazeti uchambuzi wanajifanya kumruka
Wale wadada wa mjini waliogombana nae ilibidi wamtafute Kichwa Pazi kudili na Mange, pale dakika 20 mbele ya mshale, umtaje kesho atakuchamba mpaka mpaka useme poh.
 
Muktadha wa yeye kuandika hivyo ni upi?

Kaamua tu ghafla bin vuu kuandika hivyo au na yeye kaandikwa\kasemwa vibaya na akaamua kujibu mapigo?

Kuna anayeufahamu muktadha huo?
 
Very sad, mpaka nimeona aibu mimi Jamani, pole sana Makonda, naomba umfundishe adabu huyo mtu, mbona serikali ilimkamata yule mtu anaemtishia Rais Magufuli ?ishindwe kumkamata Mange?Magufuli please do some thing... This is too much! Yaani huwezi kuamini ni mwanamke mwenye watoto mnh
 
Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
Anaelekea kuzuri tu
Nikikumbuka kipindi anamtusi lowasa na anachokifanya sasa hakuna utofauti wowote
Eti lowasa kajinyea ivi unaukumbuka huu udhalilishaji lakin
 
Very sad, mpaka nimeona aibu mimi Jamani, pole sana Makonda, naomba umfundishe adabu huyo mtu, mbona serikali ilimkamata yule mtu anaemtishia Rais Magufuli ?ishindwe kumkamata Mange?Magufuli please do some thing... This is too much! Yaani huwezi kuamini ni mwanamke mwenye watoto mnh
Lazima ujue kutofautishaa
Kati ya TZ na USA
 
Dah! Aisee labda Mange angefunguka ni jambo gani alilokosewa na huyu kaka?? Mana kama ni issue za Utendaji mbona angeliongelea kwa fact tu na kutoa mawazo yake kwamba iweje au afanye nini na alichofanya si sawa yani angetoa ushauri kama afanyavyo baadhi ya posti, Lakin kumchambua mtu kwa mambo binafsi inakuwa ngumu jamii kumuelewa au labda baadae atakuja kufunguka nini kilimpelekea kufanya hivyo. DAH!!!!
Ivi izi personal attack si alikuwa anapewa lowasa au ni nin hasa kilichoharibika hapo
 
Back
Top Bottom