Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mange Kimambi ni mdada wa mjini, mtoto wa marehemu Jumanne Kimambi alikuwa mfanya biashara mashuhuri miaka ya 90. Mange alipata mchumba wa kimarekani wakati akiwa anaishi Dubai na alifunga ndoa Dar. Ni mama wa watoto watatu na anaishi Marekani. Amaeachwa na mzungu juzi tu, wino kwenye karatasi ya talaka haujakauka bado.Mkuu embu nipe ubuyuu, maana huwa namsikia tu huyu mange, mumewe alikuwa nani???