Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Sasa ukose app ya mange afu iweje mlongo?? Nikiwa kwenye app tayari nashiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]mbea yoyote lazima mange appl awe nayoo
 
Ila wakati akiwa blogger alikua bully balaa kuna dada mmoja mpaka zikasambaa taarifa kajiua kumbe alizimia tu maana mange alitukana hadi watoto wake tudogo jamani anatutabiria tutajiuza mara tutabakwa pote pote yaani hakua anachagua matusi. Na hapo alikua na maisha ya uafadhali looh kama kweli mwele alikua anampenda mange angempeleka kwa wataalam wa akili asahau tukio la kupokea mkanda wa ngono wa mzee wake halafu mwenyewe kwa ukiherehere ndie aliyeudumbukiza kwenye deki
Shoga hii umenipa mpya maana nilikua nimekaa kwenye kochi imebidi nikae chini kitako, [emoji119]

Eenh alipokea Mkanda wa Video akauweka kwenye Deki mbio mbio sijui alijua Movie ya Rambo maskini,
Basi kwa hili huyu Dada ana tatizo kubwa la Saikolojia,

Ni kweli Mwele angempeleka kwa Wataalam akatibiwe au pengine alijaribu ila muhusika amekua mbishi maana shida ya Mental Illness ni kujikubali kama bado anajikataa itachukua muda kidogo.
 
ubuyu ulisambazwa kuwa yeye ndio aliyeupokea huo mkanda usiku akakumbusha kuhusu ule mzigo wakadhani movie wote wapo sebuleni kitu kikatumbukizwa kwenye deki za dvd zile chezo likaanza onyesha mbona walitafutana mule ndo mwanzo wa kuishi kwa mwele badala ya kwa mama wa kambo. Ndo maana hata kumuongelea hamuongelei

Ana shida kubwa mno. Alitegemea mzungu atakua tiba akakutana na rungu la kutaka kujiweka maisha ya nyota tano wakati mzungu ana kipato cha kawaida hivyo akaanza maisha ya kuigiza yaliyopelekea kuchukiwa na wakwe na divorce juu.

Hitmen huko aliko mbona wengi tu na si ghali...hajakanyaga pabaya bado,Ila unaweza tafuta ndugu zake huku ukawashughulikia....mchuma janga hula na wa kwao
Kweli mkuu kwenye darkweb kuna watu wanafanya hio kazi ni pesa yako tu, na pesa inawekwa escrow account mpaka kazi imalizike.

Ni hatari sana, kuna level ukifika wanakutoa upepo tu.

Mi niliona hizo website darkweb nilishangaa sana, vitu vya kuogofya.
 
Kuna taarifa yule mwanamke ni mgonjwa wa kansa ya damu, anajijua wazi siku yeyote atakata kamba. Jambo hili ndiyo linamfanya atende ujinga ule, hana cha kupoteza na kuharibu maisha ya mtu kwake ni faraja.
Kwa ile afya, mi nilijua ana tumia unga.
 
Si mnalipia wenyewe na mmemfollow wenyewe huko sijui wapi awape hizo habari,subirini yawakute ndo mtajua…..mwenzenu hana cha kupoteza yule ashakata ringi siku nyingi
 
ubuyu ulisambazwa kuwa yeye ndio aliyeupokea huo mkanda usiku akakumbusha kuhusu ule mzigo wakadhani movie wote wapo sebuleni kitu kikatumbukizwa kwenye deki za dvd zile chezo likaanza onyesha mbona walitafutana mule ndo mwanzo wa kuishi kwa mwele badala ya kwa mama wa kambo. Ndo maana hata kumuongelea hamuongelei

Ana shida kubwa mno. Alitegemea mzungu atakua tiba akakutana na rungu la kutaka kujiweka maisha ya nyota tano wakati mzungu ana kipato cha kawaida hivyo akaanza maisha ya kuigiza yaliyopelekea kuchukiwa na wakwe na divorce juu.
Dooh! nimejikuta naionea huruma familia yake yote, ulikua ni usiku wa kutisha sana kwao,

Kwa hii acha awe na hasira na kila Mtu nawaza hata wale Watoto wake sijui kama wanapona kufokewa fokewa tena speaking of Watoto tangu aanze mambo ya App siku hizi hawapost kabisa Watoto wake,

Na Zari ndio hua anamnyoosha
 
mtu yuko nje utamdhibiti vip sasa tcra wamejitahidi kuzuia app ake ila ukiwa na vpn unai enjoy labda kusiwe na internet Tz
 
mange ni nini hiyo? Kama analipa video za uchi Ikipatikana hata yako naipeleka tu
 
Back
Top Bottom