[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]mbea yoyote lazima mange appl awe nayooSasa ukose app ya mange afu iweje mlongo?? Nikiwa kwenye app tayari nashiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoga hii umenipa mpya maana nilikua nimekaa kwenye kochi imebidi nikae chini kitako, [emoji119]Ila wakati akiwa blogger alikua bully balaa kuna dada mmoja mpaka zikasambaa taarifa kajiua kumbe alizimia tu maana mange alitukana hadi watoto wake tudogo jamani anatutabiria tutajiuza mara tutabakwa pote pote yaani hakua anachagua matusi. Na hapo alikua na maisha ya uafadhali looh kama kweli mwele alikua anampenda mange angempeleka kwa wataalam wa akili asahau tukio la kupokea mkanda wa ngono wa mzee wake halafu mwenyewe kwa ukiherehere ndie aliyeudumbukiza kwenye deki
Labda wataalam waone hili wafanye jamboKwani hawawezi zuia payment methods anazotumia? Kama hatumii btc wazuie malipo.
Shoga hii umenipa mpya maana nilikua nimekaa kwenye kochi imebidi nikae chini kitako, [emoji119]
Eenh alipokea Mkanda wa Video akauweka kwenye Deki mbio mbio sijui alijua Movie ya Rambo maskini,
Basi kwa hili huyu Dada ana tatizo kubwa la Saikolojia,
Ni kweli Mwele angempeleka kwa Wataalam akatibiwe au pengine alijaribu ila muhusika amekua mbishi maana shida ya Mental Illness ni kujikubali kama bado anajikataa itachukua muda kidogo.
kwa hiyo yule mpiga picha hela yake aliyotumia imerudi.Nasikia laki tano hadi 2m
Kweli mkuu kwenye darkweb kuna watu wanafanya hio kazi ni pesa yako tu, na pesa inawekwa escrow account mpaka kazi imalizike.Hitmen huko aliko mbona wengi tu na si ghali...hajakanyaga pabaya bado,Ila unaweza tafuta ndugu zake huku ukawashughulikia....mchuma janga hula na wa kwao
Kwa ile afya, mi nilijua ana tumia unga.Kuna taarifa yule mwanamke ni mgonjwa wa kansa ya damu, anajijua wazi siku yeyote atakata kamba. Jambo hili ndiyo linamfanya atende ujinga ule, hana cha kupoteza na kuharibu maisha ya mtu kwake ni faraja.
Tumekwishaaaaaaaaaaaa [emoji119]Wkt tukifurahia kuona mavuzi ya Uwoya,tuelewe Sasa Ni Muda pia wa wenye lodges/guest houses/hotels kupiga mapesa Maana connection zenu wataziuza kwa Mange.AsanteniView attachment 2314085
Dooh! nimejikuta naionea huruma familia yake yote, ulikua ni usiku wa kutisha sana kwao,ubuyu ulisambazwa kuwa yeye ndio aliyeupokea huo mkanda usiku akakumbusha kuhusu ule mzigo wakadhani movie wote wapo sebuleni kitu kikatumbukizwa kwenye deki za dvd zile chezo likaanza onyesha mbona walitafutana mule ndo mwanzo wa kuishi kwa mwele badala ya kwa mama wa kambo. Ndo maana hata kumuongelea hamuongelei
Ana shida kubwa mno. Alitegemea mzungu atakua tiba akakutana na rungu la kutaka kujiweka maisha ya nyota tano wakati mzungu ana kipato cha kawaida hivyo akaanza maisha ya kuigiza yaliyopelekea kuchukiwa na wakwe na divorce juu.
Anajikondesha apate vibabu vya KizunguKwa ile afya, mi nilijua ana tumia unga.
Aisee..Zipo zote hadi za miaka ya nyuma anatukumbushia. Pambav sana huyu dada anachofanya sasa hivi ni udhalilishaji uliotukuka.
[emoji1][emoji1][emoji1]we jamaa huwaga unanifurahisha sana na hii comentKwani huyu Mange ndio nani huko Daslam?
You are right inamankuswekeNeno faragha linapoteza maana ya post yako...