Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Yaani lile umbo lake likiwa kwenye nguo, linahamasisha kweli. Nimeliona huko kwa Mange, hovyo kabisaaa!Inawauma now sababu ni super star ndo karushwa ila akirusha jamila ya kwa bibi nyau povu haliwatokagi namna hii. Waache warushwe watanyooka
Unajua hiyo App ishaumiza wangapi hadi sasa??Serikali yetu inamambo yamsingi sana ya kufanya na sio kudeal na xvideos za mange app! Kwanza imefungiwa kwann udownload VPN ukacheki pilauextra!
Mange hana kosa kisheria kwasababu serikali imeifungia app yake sasa kwann udownload VPN? Mbna video za kim Kardashian zilivuja na mpaka leo ni staa mkubwa tu!Sawasawa, na huyo mwenye kufanya upuuzi/uzinzi wake anatakiwa apigwe faini..
Bipolar Mange mwisho wake upo njianiMental illness is real .. huyu dada sio mzima yaani anaweza hata kuua mtu kwa ajili ya pesa na fame na ndipo anapoelekea ila ni swala la muda tuu [emoji817]
Labda uwe haupo kwenye Mitandao ya Kijamii yaani unaishi chini ya Jiwe ndio unaweza kuuliza hilo swali.Mtoa mada,wewe umejuaje mambo ya Mange kama na wewe sio mdau wa Udaku..??!
Ipo siku na yako clear tutaipata
Mange ni mjanja sana unadhani hajui all outcomes? Inshort amejipanga na ana mpaka mwanasheria wa app yake. Na kingine kisheria mwandishi haruhusiwi kuhojiwa nani kampa habari.Unajua hiyo App ishaumiza wangapi hadi sasa??
Msidhani mpo salama na hizo lodges mnazopelekana mshaambiwa kuna Bulb za Camera hayaa sie tupo hapa kutoa pole
Nyie mnajirekodi video za ngono za nini kama hamtaki muonekane?Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??
Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,
Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.
Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,
Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??
Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,
Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?
Joseph Mbilinyi AKA SUGU, hana hamu naye Da 'Mange!Ipo siku na yako clear tutaipata
Bulb za camera tena jaman [emoji849] hatari.Unajua hiyo App ishaumiza wangapi hadi sasa??
Msidhani mpo salama na hizo lodges mnazopelekana mshaambiwa kuna Bulb za Camera hayaa sie tupo hapa kutoa pole
Yaani uishi kama digi digi namna hiyo kisa nini hasa??Ila kwanini urekodi au urekodiwe hizo video?
Kwanini usifike chumbani kila mtu aweke simu yake sehemu moja?
Utasingizia ulevi, je kuna ulazima wa kulewa hadi kutojitambua?
Yaani we humjuagi mtu hata mmoja πππKwani huyu Mange ndio nani huko Daslam?
Ni kweli wasiokijua watu ni hiki, Hakuna aliye salama kwa sasa, unahitaji mtu anayejielewa sana na asiye na njaa/visasi.Connection za mange hazivujishwi, zinanunuliwa.. Hii tu inaweka hatari kwa kila mtu maana leo hii ni wachache wana_date na mtu anaemjua muda mrefu. Watu wanaokotana na kubebana,
Jiulize kwa hali hii, mtu akispend laki mbili kwako, akaenda uza connection kwa mange ili apate let's laki tano. Huoni inatoka kwenye kuvujisha kwenda kwenye biashara, yaani inshort tunaanza kuwindana
We wa wapi,watu wanagongwa chuma daily marekani na hakamatwi,serikali haikumtaka tu,Ina resources kulekuleHivi kuna wenye pesa humu Tanzania kuizidi serikali?Mange kawasema marangapi akina JPM?Kule nje,raia wanalindwa sana,labda umpige chuma,halafu uishie jela,yaani ujitoe muhanga.
Ilikua expensive diplomatically..siyo kwamba hawakuwa na uwezo,serikali ihangaike nje ya nchi na mchambaji!!!Huyo dada,ametamba kipindi cha Magu,Magu akafa akamuacha,sidhani kama kuna hao wakuitwa hitmen wamuweze,au Unadhani JPM au wasaidizi wake,walikua wanafurahia alichokua anakifanya?