Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Hivi kama serikali imeweza kufungia app isionekane mpaka vpn, serikali hiyo hiyo imeshindwaje kudhibiti wananchi wasiweze kulipia hiyo app? Kwa misingi ya kudhibiti mfumo wa malipo
kwenye malipo hata huambiwi kama unalipia MANGE KIMAMBI... so hata usiwalaumu
 
Mange ni mwanaccm kwa sasa hana madhara yoyote amejikita zaidi katika kufichua MAOVU!
Kazi alishaimaliza kitambo ya kufichua uovu mkubwa na udhalimu, karibu atakuja tz tujitokeze kumpokea shujaa huyu!
>Endapo kama wewe ni muovu kaa mbali naye!
 
Mpaka siku atapogusa sehemu nyeti ndio dola itasimama kwa vidole kuhangaika. Ndio binadamu tumejaa uchafu lakini bado si sababu ya kuvua utu wa mtu. Ni laana ambayo itamtafuna siku moja au kizazi chake.

Sikuwahi kufikiri anaweza kufikia kiwango hiki, sorry for her family sababu spiritually ni suicide! Kuvua utu wa mtu kwenye kadamnasi hata kama ni muovu kiasi gani ni kumgusa muumba wake moja kwa moja anayetusiri wote pamoja na maovu yetu.
 
Unataka privacy kwa kitu ambacho huna ownership nacho, hivyo vipicha vyako kwenye cellphone mtu yeyote akivipata anaweza kuviweka online na hakuna chochote unaweza kufanya, lipia Getty images kama unataka privacy
Hatari na sahv utakuwa watu washa upload huko xvideos

Ova
 
He umetaja hela ndogo
 
Jinga Hilo achana nalo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…