rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
kwenye malipo hata huambiwi kama unalipia MANGE KIMAMBI... so hata usiwalaumuHivi kama serikali imeweza kufungia app isionekane mpaka vpn, serikali hiyo hiyo imeshindwaje kudhibiti wananchi wasiweze kulipia hiyo app? Kwa misingi ya kudhibiti mfumo wa malipo