Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Hivi kama serikali imeweza kufungia app isionekane mpaka vpn, serikali hiyo hiyo imeshindwaje kudhibiti wananchi wasiweze kulipia hiyo app? Kwa misingi ya kudhibiti mfumo wa malipo
kwenye malipo hata huambiwi kama unalipia MANGE KIMAMBI... so hata usiwalaumu
 
Mange ni mwanaccm kwa sasa hana madhara yoyote amejikita zaidi katika kufichua MAOVU!
Kazi alishaimaliza kitambo ya kufichua uovu mkubwa na udhalimu, karibu atakuja tz tujitokeze kumpokea shujaa huyu!
>Endapo kama wewe ni muovu kaa mbali naye!
 
Mpaka siku atapogusa sehemu nyeti ndio dola itasimama kwa vidole kuhangaika. Ndio binadamu tumejaa uchafu lakini bado si sababu ya kuvua utu wa mtu. Ni laana ambayo itamtafuna siku moja au kizazi chake.

Sikuwahi kufikiri anaweza kufikia kiwango hiki, sorry for her family sababu spiritually ni suicide! Kuvua utu wa mtu kwenye kadamnasi hata kama ni muovu kiasi gani ni kumgusa muumba wake moja kwa moja anayetusiri wote pamoja na maovu yetu.
 
Unataka privacy kwa kitu ambacho huna ownership nacho, hivyo vipicha vyako kwenye cellphone mtu yeyote akivipata anaweza kuviweka online na hakuna chochote unaweza kufanya, lipia Getty images kama unataka privacy
Hatari na sahv utakuwa watu washa upload huko xvideos

Ova
 
Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
He umetaja hela ndogo
 
Yaani nimemshangaa sana, sijui wengine hua wanawaza kwa kutumia nini walai,

Eti lazima U prove damage uliyoipata na sura yako pekee haitoshi lazima uwe na copy right, lol

Kwa hiyo hizo sheria za Cyber bullying ni za bure tu kumbe tunatakiwa kua na Hati Miliki ya Miili yetu.
Jinga Hilo achana nalo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom