Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.
 
Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.
Yaani mtu aache kufanya anachofanya kwa starehe yake sababu wewe ni Peeping Tom ?

Ni kama wale wachungulia vyumbani kwa watu ili kuona watu wanafanya starehe zao (sasa hapa mwenye makosa ni nani mfanyaji kitu natural au mchunguliaji)? Unaweza ukasema kwanini asifunge pazia ila labda akifunga kuna joto....

In short huenda hao wachukua video that's their kinky stuff kwa faida yao ila wasambazaji nadhani ndio wakosa hekima (Mange akiwemo)
 
Ni project.....! Yawezekana ni kwa ajili ya wale waliokuwa kindakindaki na mtu fulani wakati fulani (Nawaza, yawezekana nawaza hisivyo kabisa).

Aujue kuna Karma! Pascal Mayalla hakutudanganya katika hili.
 
Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
Mil 200m tyuuh?? Useme zaidi ya 500, hapo sawa
 
Inasemekana online App yake imesajiliwa Tanzania,ana wafanyakazi Tz, physical address ipo Dsm na ilikuwaonyesha yeye ni exceptional alionana na kupiga Picha na Rais wenu ,Kifupi Serikalini haijashindwa bali inawezekana watendaji wanaogopa kupoteza vibarua vyao Kwa kisingizio Cha Mama kaleta Uhuru wa habari.......
Na mange ukitaka kumtibua iseme serikali ya mama vibayaa 😀 😀 😀 anajua kula na kipofu so kumfungia tu mpaka watu watumie VPN ndo kitu pekee serikali inaweza fanya ila sio kwenda kumteka kule marekani wamlete hukuu... au kumfungulia ana charges
 
Jamani si ni shujaa wa watu huyu,kuna watu wanamshangilia na wamekuwa wakimtumia kama msemaji wao tangu enzi za mwendazake........ tulikataa na kupinga yale yote ila tukaonekana hajujielewi.........acha aendelee kuwapapasa sharubu maana mbwa ukimdekeza sana atakufuata hadi Msikitini
Shujaa amegeuka kua kilio cha wengi
 
Back
Top Bottom