Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Zipo zote hadi za miaka ya nyuma anatukumbushia. Pambav sana huyu dada anachofanya sasa hivi ni udhalilishaji uliotukuka.Kwa hiyo huko kuna connection zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo zote hadi za miaka ya nyuma anatukumbushia. Pambav sana huyu dada anachofanya sasa hivi ni udhalilishaji uliotukuka.Kwa hiyo huko kuna connection zote
Inafikirisha
Na papuchi muache kunyoa na TOPAZ mkuu.Zipo zote hadi za miaka ya nyuma anatukumbushia. Pambav sana huyu dada anachofanya sasa hivi ni udhalilishaji uliotukuka.
za kutosha tu mzee...yani zote za mastaaaKwa hiyo huko kuna connection zote
Kwa hiyo Uhuru wa Habari ni kuangusha wengine kwa Presha!!!Inasemekana online App yake imesajiliwa Tanzania,ana wafanyakazi Tz, physical address ipo Dsm na ilikuwaonyesha yeye ni exceptional alionana na kupiga Picha na Rais wenu ,Kifupi Serikalini haijashindwa bali inawezekana watendaji wanaogopa kupoteza vibarua vyao Kwa kisingizio Cha Mama kaleta Uhuru wa habari.......
Kuna malipo ama unapakua tuu na kumwagilia moyoZipo zote hadi za miaka ya nyuma anatukumbushia. Pambav sana huyu dada anachofanya sasa hivi ni udhalilishaji uliotukuka.
Una Point ila Mimi nataka huyo Mwanamama asimamishe madhila anayosababishia wengine kwa kudhibitiwa mara moja asiendelee kuumiza wengi zaidi.Tatizo ni la anayefanya kitu ambacho ni natural (wengi wanafanya), au anayerusha faragha za watu / mununuzi au wale ambao wanalipia / wanasumbuka kuangalia faragha ya watu ? Kwangu mimi Mrushaji na mtafutaji wote ni walewale
Ukiangalia sana kinachoendelea sababu kina gap in market (wapenda umbeya, kufuatilia maisha ya watu na wakosa kazi) basi huyu ni kwamba anakidhi ile need.., (Rightly or Wrongly) lakini wale wawezeshi wake ndio wanaompa pumzi
Buku yako tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna malipo ama unapakua tuu na kumwagilia moyo
Hapo kwenye maajabu ya Mungu ndio naogopa,Kama Magu alimshindwa, hapa tusubirie maajabu ya Mungu tu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.
Walo freeze acc ikiwa na Mil 103 na chenji. Afu app ilikua na week 3 tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]falaa sanaa yule kengee yani nyie kajua kusepa na kijijii... watu 100k mara 1000... ni 100,000,000 SIO MCHEZOO.. kuna kipindi alikuwa anatuma bank za bongo mwanzo kabisa wee wale jama wenyewe walidataa jinsi figure zinavyokimbiaaa 😀 😀 😀 walifreeze mpaka acc zake
naweza kuamini aisee... mange hashindwi kumpa uwoya hata 10mil kwa sasaKwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....
Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...
Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...
Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
Inaitwaje hiyo appBuku yako tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaah kwa mwezi hakosi mil 200 yule... na siku hizii hafuti connectionWalo freeze acc ikiwa na Mil 103 na chenji. Afu app ilikua na week 3 tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule sahiv anacheza kwenye Mil 200 kupanda juu.
Pombe inasingiziwa sana, kingine kwann unaokotwa okotwa na watu huwajui tabia zao.Ila kwanini urekodi au urekodiwe hizo video?
Kwanini usifike chumbani kila mtu aweke simu yake sehemu moja?
Utasingizia ulevi, je kuna ulazima wa kulewa hadi kutojitambua?
Ila hii ya uwoya waligombana na mtu wake, ndo akatshia utaona, uwoya akajibu mapigo, ndo jamaa alituma kwa mange, hii video ilichukuliwa 2018.Kwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....
Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...
Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...
Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
Ze Utamu alimzingua nini mzee wa Msoga mkuu?Siku akiweka connection ya no1 ndo utajua kwamba Serikali ipo ila haijaamua tu. Yuko wapi yule jamaa wa Ze Utam aliyeingia kwenye anga za JK?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Aisee yule manzi kwa sasa nimekubali ni master mind hii app anatengeneza mpunga wa maana amelala geto sema ndo hivyo anaumiza wengi sana... Anyway hata serikali inatupiga mahelaa sisi tunaliaaa tuuKwani huyu Mange ndio nani huko Daslam?