Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Baniani mbaya kiatu chake dawa brother..Jamani si ni shujaa wa watu huyu,kuna watu wanamshangilia na wamekuwa wakimtumia kama msemaji wao tangu enzi za mwendazake........ tulikataa na kupinga yale yote ila tukaonekana hajujielewi.........acha aendelee kuwapapasa sharubu maana mbwa ukimdekeza sana atakufuata hadi Msikitini
Mange alikuwa vocal kiujasiri hadi akapata tuzo kama activist, hiyo haiwezi kufutwa lakini anapovuka mstari lazma watu waseme