Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Hapana hakikunuka, maana hakukuwa na ukweli wowote ule.
Ila jamaa sasa aliiona sura halisi ya kitu kinaitwa DOLA.
Choose your enemies wisely.......
aah ok.. ofcoz sio kila mtu unamfanyia ujingaa tuu
 
Hivi ni mimi tu sijajua/ kuona hicho kinacho zungumziwa kwa Irene au kuna wenzangu pia? Tujuane aisee....

Huyu Dada wakuitwa Mange ni anavuka mipaka sasa....
Watu anaowachafua nafikiria wangekuwa ndugu zake angeweza kufanya hivyo?

Anyway! Siku zote kichaa anachekesha ikiwa hatokei familia yenu/yako..
Ila kweli, Mange anaumiza hisia na haiba za watu lol.
 
Watu walkinyanduana faragha kuna tatizo gani?
Tatizo ni kujirekodi au kurekodiwa na ikasambazwa makusudi. Huu ni ushamba
Sasa watu wapo faragha huyo anayerokodi anatokea wapi kama sio mmoja wao ni malaya?
Yaani ana lengo lake binafsi.
Ndio maana nasema watu wasinyanduane na watu ambao akili zao zipo chini ya kalio.
Unamrekodi mpenzi wako ili iweje?
Uzwazwa tu wacha Mange aandelee kurusha na kula buku za wapenda umbea.
 
Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
Afikishe Mara ngapi?Ana pesa mange Sasa hivi vibaya mnoo
 
Connection zinaondoa stress. Acheni kujichukua video na App ya Mange itakufa yenyewe tu. Ukikata mirija ya connection baaaasi. Dawa ni kutojirecord so Mange atakosa raw marterials na kiwanda chake kitakufa.
Sahihi kabisaaa umemaliza
Tuache kujirikodii
 
Back
Top Bottom