Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Kwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....

Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...

Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...

Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
Km ni hvyo atakua mpuuzi Waheed Ila mi ht sishangai acha inyeshe tujue panapovuja
 
aristote kakimbiaa aisee... sema ile puss ni ya viwango aisee kitu ka cha mtoto... aristoteeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Ila mtu ambae baba yake alifanyiwa ufirauni, akadhalilika kiasi kile unadhani ana utu,, hana Cha kupoteza anahisi kwa kufanya hivyo anapunguza machungu ya kile alichotendewa baba yake mpk akajiua
Wht happened mpaka mzee akafanyiwa namna hiyo
 
Suluhisho ni watu kuacha kuitumia.
Kama ipo maana yake kuna wateja

Serikali ilishachukua hatua ikaifungia

Wanaongalia wanatumia VPN (Virtual Private Network)

Ukitumia mtandao wa kawaida huoni

Sasa kama mpk mtu anainstall VPN maana yake tatizo lipo kwa walaji
Mi pia nishajiunga siwi muongo,Ila hapa kati sijajiunga kwa kua Nina Mambo mengi
 
Hapana hakikunuka, maana hakukuwa na ukweli wowote ule.
Ila jamaa sasa aliiona sura halisi ya kitu kinaitwa DOLA.
Choose your enemies wisely.......
Alifanyiwa nini na alisambaza nini
 
Maisha yalivyo magumu itafika mahala wahusika wa mahusiano wenyewe watajichukua connection wamtumie ili wapate chochote kitu


Mungu tunusuru
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]daahhh
 
Ila mtu ambae baba yake alifanyiwa ufirauni, akadhalilika kiasi kile unadhani ana utu,, hana Cha kupoteza anahisi kwa kufanya hivyo anapunguza machungu ya kile alichotendewa baba yake mpk akajiua
Upo sahihi,
Ana Mental Disorder iliyotokana na Trauma ya alichokishuhudia kwa Baba ake na Ndoa yake ilivyovunjika kwa kubebewa Mume na Shoga ake ndio alitaka kuwehuka kabisa, ila aliufyata maana Marekani sio Bongo ati
 
Hao hawawazi, ukipost mule ni kama umepromote biashara. Shida ni kwa dada zetu maana ndio wahanga, anatongozwa leo, anatangaza shida na jamaa anasupply kumbe kashapiga hesabu za mtonyo wa mange.. Nani atapona mzee

Hata hii connection ya Irene, inaonesha kabisa alikuwa amezima, hajitambui na jamaa alimvua nguo makusudi ili amrekodi. Inshort aliyerekodi alidhamiria

Nawashangaa sana wanawake wanaosupport wasijue kumbe hata wao wanaweza kuwa next victims
Thank you,
Yule Dada ni kama aliwekewa Drugs ili adhalilishwe vile maana alikua hajitambui lakini bado Watu hawaoni hilo
 
Back
Top Bottom